Recent content by Prosecutor Herrera

  1. Prosecutor Herrera

    Ananipenda lakini Anaomba sana hela kwa kisingizio cha Ugonjwa.

    Hongera wew unaeweza kuishi na mwanamke..Ni kipaji kizur sana
  2. Prosecutor Herrera

    Ananipenda lakini Anaomba sana hela kwa kisingizio cha Ugonjwa.

    Unataka nikuletee screenshot zao wakiwa wanachat?
  3. Prosecutor Herrera

    Ananipenda lakini Anaomba sana hela kwa kisingizio cha Ugonjwa.

    Tayar kala papuchi issue ni kwamba he still in love with that chicken
  4. Prosecutor Herrera

    Ananipenda lakini Anaomba sana hela kwa kisingizio cha Ugonjwa.

    Mwanamke yupo Mkoani hayupo Apa 2napoishi sis...Swala la kumpeleka hospitalin linawezekana vjp?Akisema anaumwa ana2ma kabisa makaratas na gharama za dawa zinakua zaid ya 40000+...Mala ya kwanza alim2mia akafanyatena mala ya pili akawa anamtumia mim ananificha sasa now ni mala ya nne!!!Nikimshaur...
  5. Prosecutor Herrera

    Ananipenda lakini Anaomba sana hela kwa kisingizio cha Ugonjwa.

    Nina rafki yangu kampenda mwanamke kakutananae Facebook mdani ya wiki mbili.Lakin wameanza na mipango ya ndoa mwez wa11 lakn chakushangaza huyu wanamke anamuomba sana hela kwakisingizio anaumwa kilabaada ya wiki na anakua mkali.Ndugu yangu analalamika sana lakin ukimshaur ampuuze uyo mwanamke...
  6. Prosecutor Herrera

    Jirani yangu simuelewi

    Muombe akuelekeze wanapouza nguo kama zile ukilewa uwe unaziangalia
  7. Prosecutor Herrera

    Mapenzi yanavyochangia watu kuua na kujiua

    Nimejifunza somo zuri sana cku ya leo...Usiruhusu Akili yako ikatawaliwa na Neno Nampenda sana...
Back
Top Bottom