Recent content by prophecy

  1. P

    JamiiForums Tanzania Wema, diamond wanaswa kigoma

    Jaman hawajazilipia waachen watoane majasho. Kiukweli ngoma ikivuma sana hupasuka paaaaaaaaaaaaaa
  2. P

    JamiiForums Tanzania Je huu ni uungwana?

    Uchi unakuwa uchi pale unapoutafsiri, waungwana mimi natafsir uchi kuanzia kwa beach, club na sehem km hizo. Huyu kaonewa tu, nyie wenye nyuchi mnakutana nazo kila cku had barabaran sembuse hawa swimming pool
  3. P

    JamiiForums Tanzania Picha za ngono tcu.

    Mh nimeipenda.............duh
  4. P

    JamiiForums Tanzania Maandamano maandamano maandamano kupinga unyanyasaji wa polisi nchi nzima

    2015 Tuwapige chini tuhakikishe tunalinda kura zetu kila kona HAWAFAIIIII siwapendi km nini!
  5. P

    JamiiForums Tanzania Maandamano maandamano maandamano kupinga unyanyasaji wa polisi nchi nzima

    Leo kuna mbunge kanikera sana anasema eti serikali ijipange kujenga hospitali ya jeshi. Anaendelea kusema eti kwa kuwa jeshi limeonyesha linanidhamu halita goma km sisi raia. Anasema iwe kumbwa kuzidi hat Muhimbili ilikukidhi mahitaji ya wananchi. SWALI; KUkitokea mgoma hiyo hospitali watatibu...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Maandamano maandamano maandamano kupinga unyanyasaji wa polisi nchi nzima

    Watanzania Bob marley The Great Philosopher alisema "You can fool some people sometimes but you can not fool all the people all the time" :canada:
Back
Top Bottom