Recent content by PromiseLand

  1. PromiseLand

    Natafuta gari ya kununua IST

    Jamani Wana ukumbi natafuta gari ambayo bado Iko kwenye hali nzuri (IST) bajeti yangu ni 7ml 0795154145
  2. PromiseLand

    Utata wa kanisa la Arise and Shine. Je, linatumia usajili wa Calvary Assemblies of God(CAG)?

    Hiyo inafanyika monthly ndiyo maana Bishop hachezi mbali.
  3. PromiseLand

    Utata wa kanisa la Arise and Shine. Je, linatumia usajili wa Calvary Assemblies of God(CAG)?

    Mwamposa ni muumini mwaminifu wa C.A.G tangu zamani na ministry yake Iko chini ya Maboya
  4. PromiseLand

    Kwa mujibu wa Biblia takatifu Kanisa la Wasabato ni Kanisa pekee duniani la kweli, la masalio na lenye kuongozwa na roho mtakatifu

    Kanisa lililoanzishwa na mwanamke lenye nembo ya mwenge liwe kanisa la kweli kuliko mengine uko serious kweli?
  5. PromiseLand

    UBUYU WA MOTO lakini msiseme umetoka kwangu!

    Hawa ndiyo wasomi wa kizazi hiki ni hatari sana!
  6. PromiseLand

    Kuanzishwe kodi mpya na ikatwe sh 1000 kwa kila mwezi kwa kila mwenye line ya simu kama sehemu ya income tax

    TUnalipa kodi Kwa kila bidhaa tunayonunua hata hiyo simu anayosema tumelipa kodi tayari unataka Kodi gani tena au unawinda uteuzi?
  7. PromiseLand

    Mshahara ushatoka uko mitano tena

    Kumbuka kuna maisha baada ya sikukuu.
  8. PromiseLand

    Simba ataingia fainal na kuchukua kombe la shirikisho

    Acha kumhusisha Mungu na ushirikina.
  9. PromiseLand

    Wanawake pindi mnapokuwa na miaka 17-25 kwanini huwa hamshauriki mkasikia?

    Namuunga mkono mleta mada,mimi nina binti yangu miaka 21 yuko mwaka wa pili chuo kada ya afya ameacha chuo anataka kuolewa.Tumekaa vikao vingi kama vya bunge kushauli wapi? Yeye kauli yake ni ile ile" Mimi nataka kuolewa"
  10. PromiseLand

    PreGE2025 Mbunge wa Jimbo la Busanda: Nahisi kama nitakuwa mbunge kwa mara nyingine tena

    Kwa miaka mitano ameifanyia nini Busanda mpaka ajiamini kiasi hicho?
  11. PromiseLand

    DOKEZO Nguruka Kigoma: Fiche ya majambazi sugu Bongo

    Siku hizi eneo hilo pia limetoa Chawa wakubwa nchini.
  12. PromiseLand

    Eti mtu anajisifia ni PhD, halafu PhD ambazo hazina mchango wowote kwenye maendeleo ya nchi hii

    Kuna mmoja ana Phd ya mathematics lakini haishi kunipiga vizinga 🤣🤣🤣
Back
Top Bottom