Ktkt bunge hili hakika tumeona pengo la Dr.Slaa,
hakika Dr. Slaa ni mwanasiasa mwenye uthubutu wa kutaja hata mafisadi kwa majina kama that time mwembe yanga.
Mbona watu wambea sana hasa we gamba mleta thread hii, Nilisoma habari hiyo na umeifanyia edit nyingi sana ww kuwadi wa unafiki ambaye ni mshabiki wa Lipumba humu JF,
Ni kweli hoja ni ya Tundu Lissu na sio chama sasa tatizo liko wapi?
Mimi ni mkristo tena mlikole haswa.
Kwa kitendo hiki alichofanyiwa shehk si kizuri wala si cha kibinadamu hata kidogo, hali hii haivumiliki ktk nchi ya amani kama yetu.
Please serkali fatilieni wahusika wahuni hao wachukuliwe hatua.

Mbowe hebu hacha kauli za kifffallla na kijuha, hata kama CDM si baba yako sasa unamwambia nani?
Hebu nyie viongozi acheni maupumbavu hayo ya kauli tata kama lile lizito kabwe.
Bora hata Rais wangu Slaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.