Recent content by projectboy

  1. projectboy

    JamiiForums Tanzania Kwanini kama taifa hatuendelei?

    s Sababu ni hizi zifuatazo 1.CCM 2.UWEKEZAJI WA HISIA NA KUIGA MFANO NDEGE 3CCM 4.WIZI NA RUSHWA 5.CCM 6.UWEZO MDOGO WA KIAKILI WA WATANZANIA "UJINGA" 7.CCM 8.UFINYO WA DEMOKRASIA KWA KIFUPI SABABU NI CCM.
  2. projectboy

    JamiiForums Tanzania TRA waifungia Sahara Media(Star TV, RFA) kwa kudaiwa Kodi ya Sh. Bilioni 4.5

    AUZE VYOMBO HIVYO ARUDI KWAO KENYA
  3. projectboy

    JamiiForums Tanzania Rwanda and its presidentPaul Kagame, feted and feared

    Rwanda and its president Paul Kagame, feted and feared Rwanda is a more prosperous country than ever before. It is also a repressed one “IF YOU have plastic bags, please leave them on the plane,” the cabin crew warn. Welcome to Kigali, Rwanda’s spotless capital. Plastic bags are banned. Traffic...
  4. projectboy

    JamiiForums Tanzania Sipati mchumba kwa sababu wananihisi vibaya

    nilivyovigundua haraka haraka kutoka kwenye comments za wadau na unavyojibnimeona yafuatayo kwanza kabisa una overconfidence,sio talkative na ukiongea ni mikato sana,unajua ni kitu gani kimekuchelewesha mpaka sasa hivi uko hivyo lakini hauko tayari kucompromise,self centered kind of person..
  5. projectboy

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baraza Kuu La CHADEMA linatarajia kukutana kwa dharura Kumjadili Mbunge Machachari (Joshua Nassari)

    Ana nguvu kubwa arumeru kwa wameru/rwa wenzake na sio arusha nzima kama unavyotaka kutudanganya wala manyara.
  6. projectboy

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Prof. Florens Luoga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi - TRA

    ma prof hawatabadili chochote,ila miradi ambayo serikali inawekeza ndio zinazoweza badili hali hii..utaalamu ukishakua chini ya siasa nothing good can come out.
  7. projectboy

    JamiiForums Tanzania Hongera TBC kwa mabadiliko makubwa

    Kwenye vipindi vya mohajiano hua naona bendera ya korea ya kusini inaonekana kwenye jengo flani pale nadhani hayo ni miongoni mwa maendeleo makubwa sana ya kujivunia!background pic kali sana ile big up
  8. projectboy

    JamiiForums Tanzania Utafiti Mpya: Rais Magufuli anakubalika kwa asilimia 80.2%, Imani ya wananchi kwa CHADEMA Yashuka

    i agree,juzi tu hapa mojawapo ya maanalyst wakubwa wa citi bank alisema kua its for nearly 10 years now in a row tanzania inadai uchumi unakua kwa 7%.WATCH OUT GUYS!!!!!
Back
Top Bottom