Recent content by profftobe

  1. profftobe

    TPA madudu matupu, PSSSF imefilisika, NSSF haina fedha, TASAC ubadhirifu mtupu sasa hawa CHADEMA wanapigana na Ufisadi gani?

    Chadema ipi? Mwendazake si aliua kila kitu!!! Jamaa alidhani ataishi milele kaua upinzani ili ale manono ya nchi hii bila kupigiwa kelele. Cha kushangaza naye kafa miezi minne baadae. Mungu aziakiwi, similar scenario as in the Holy Bible Lk 12:20-21 - “But God said to him, ‘You fool! This very...
  2. profftobe

    Mama Samia ameingia kwenye mtego wa wafanyabiashara kubembelezwa kulipa kodi, tumekwisha!

    yah umeongea sahihi huyu mama inaonekana ana mhao hajatulia. Anaondokea gia ya tano hatoweza kufika mbali.
  3. profftobe

    Je, ni lazima kumgaramia mpenzi wako wa kike kwa kila kitu mnapokua katika hatua ya urafiki na uchumba?

    Pole. Unapoamua kuishi kama mke wakati ujaolewa ni lazima kutumia akili kidogo. Huyo jamaa yako unamkamua hasa ili agharamie hizo huduma unazompatia. Hiyo ya kudhani ukijifanya kondoo uliwe bure ndio itakufanya uolewe ni kujidanganya mchana kweupe. Wewe mpe hilo papa lako apige ila uhakikishe...
  4. profftobe

    Itashangaza Dunia kama Waziri wa Afya na Naibu wake hawatafukuzwa kazi ya uwaziri

    Kumshahuri pombe inahitaji ujasiri wa kujitoa mhanga kama Ndugulile alivyo ambulia kutumbuliwa. Ila uzuri wa pombe baada ya maamuzi uwa anafanya pondering na akigundua kuna kasoro hubadiri gia na kumchukua mtu yule yule kwa kazi zaidi. Hiyo tu ndio uwa naikubali kutoka kwa pombe. Kukosea kupo na...
  5. profftobe

    Waziri Jafo, siku nyingine uache kiherehere cha kufananisha Siasa na uweledi wa tiba za Kisayansi

    Nadhani siku si nyingi mkulu atajirudia zake chato kwenye isolation mambo yamepamba moto.
  6. profftobe

    Miaka minne ya Rais Magufuli: Ni maajabu tupu kwenye miradi ya barabara

    Una uhusiano na mkapa au ulikuwa kwenye chain yake ya upigaji? maana naona unajaribu kumpamba tu mwizi mkubwa yule. Kazi amefanya JK sifa unampatia Mkapa. Apumuzike kwa amani Mkapa!
  7. profftobe

    Wife kanizidi kipato lakini kila wiki lazima aniombe elfu 20 ya kusukia

    mkuu umefanya vema kumnyima hiyo 20k. Kununa kwake kusikusumbue wewe endelea na maisha kama vile hajanuna. Muache apime mwenyewe ananuna kwa muda gani.
  8. profftobe

    Nimemuelewa Halima Mdee. Amekubali makosa, anataka maridhiano; yuko tayari kujirudi na kurekebisha mambo chamani mwao

    Uongo huo kafundishwa aonyeshe unyenyekevu ili kuwadanganya watu kama wewe
  9. profftobe

    Natabiri jaribio lolote la kubadilisha Katiba na ukomo wa Rais litaibua mazito

    Ndungai ndiye katumwa kutekeleza hili. Na soon than later hili ndilo litakuwa habari kuu tza. Lakini...
  10. profftobe

    Dada kama huwezi kutengeneza kipato hata cha sh. 500 kwa siku hufai kuwa mshauri, mpenzi, mchumba au mke wa mwanaume yoyote

    Kuomba nauli sio sababu ya kwamba hawezi kutafuta hela au kwamba hana hela ni hulka yao kuomba na kutegemea. Yaani mwanamke ni parasite ya mwanaume. Hii dunia bila mwanaume haipo! Waulize walioa wake watafutaji hela yao ni yao na ya mwanaume ndio pesa ya familia. Alafu mbaya zaidi mwanamke...
  11. profftobe

    Kuna watu wana bahati jamani, sijawai kuona mwanamke mkarimu kama huyo dada

    Labda tuichukulie hivyo mkuu lakini tafsiri ya sheria/amri ni ngumu kidogo ukisoma vizuri utaona jamaa hadi kawivu flani hivi kamo kwenye ujumbe wake. Na hayupo pekee yake ili linatukumba wanaume tuliowengi! Issue ni je mstari unachorwa wapi kutenganisha impressions na matamanio!!
  12. profftobe

    Kuna watu wana bahati jamani, sijawai kuona mwanamke mkarimu kama huyo dada

    Sheria nyingine ngumu jamani. Kuna hii "usitamani mwanamke asiyekuwa mke wako" naona kama umeivunja!
  13. profftobe

    Wakuu nataka kununua gari kwa Mara ya kwanza na ninaishi mazingira ambayo ni rough kiasi. Naomba kujua ni gari gani dogo linaweza kuvumilia

    V Vipi Mitsubishi io au hata mini yenye 4WD kama pesa yake ni ndogo zaidi. Vina nguvu alafu viko juu juu avilambe ardhi hata barabara ikiwa ya hovyo. Shida yake spear ila hayaharibiki hovyo hovyo, body za Mitsubishi asilimia kubwa ni chuma ngumu.
  14. profftobe

    Kuagiza Gari nje ya nchi vs Kununua Yard

    Kwani za yard zinatoka wapi hadi ziwe bora kuliko za kuagiza direct? Nadhani yard nyingi zinafanya huu ujanja ujanja aliousema mleta mada!!
Back
Top Bottom