wadau kuna tetesi zilikuwa zimezagaa hapa JF na mitandao mingine kuwa nkurunzinza atatatoa heavy speech le,mwenye taarifa juu ya hiyo speech atujuze tafadhari
wadau nimeamini kweli sir prof god ni hatari sana,ebhana kumbe wadudu jamii ya mchwa au sisimizi huwa hawalali kabisa katika maisha yao yote hapa duniani.vipi ulikuwa unafahami hichi?
Wadau,
Leo nimeamini kweli Sir Prof God ni wa ajabu sana! Kumbe bhana wadudu jamii ya mchwa au sisimizi huwa hawalali kabisa katika maisha yao yote ya hapa duniani! Vipi wewe ulikuwa unafahamu kitu kama hiki?
Mgomo huo unatokana na michango ya mara kwa mara wanayochangishwa waganga hao na watu wanaosema kuwa wametumwa na Wizara yaAfya.Pia wamedai kuwa wamekuwa wakifanyiwa unyanywasaji na serikali kupitia Wizara ya Afya.
Chanzo: WAGANGA WA TIBA ASILI KINONDONI NA BAHI-DODOMA
Habari wanaukumbi!
Wadau mimi nimfuatiliaji wa stori za huyu jamaa na hiki alichosema nadhani kina ukweli ndani yake.
Wadau, wengi wetu humu tumeajiriwa na kuanzia tareh 23-30 huwa tunavuta pesa na kuwa matajiri kwa kufanya chochote tunachoweza kwa mishahara tuliyopata,lakini ikifika tarehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.