Recent content by proff g

  1. proff g

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi ya RAS mkoa wa Mara inakaa na maombi ya uhamisho muda mrefu bila kufafanyia kazi

    Binadamu wenyewe tunaumizana so sad
  2. proff g

    JamiiForums Tanzania NGO’s na International organization siku hizi ni kama pipa na mfuniko

    Tuzidi kumuomba Mungu kadri siku zinavizidi kusogea mambo yanakuwa mabaya zaidi🙏🙏🙏
  3. proff g

    JamiiForums Tanzania Antony Mtaka ni presidential material? Maoni yangu kuelekea 2030

    Akiwa waziri mkuu atafiti zaidi
  4. proff g

    JamiiForums Tanzania Moshi, kati ya Manispaa Chache Chafu Zaidi Tanzania Bara!

    Hii hali ya uchafu iliyo pitiliza ni mbaya kwakweli Yan kama huku kuanzia njianpanda Hadi himo ni kuchafu sana
  5. proff g

    JamiiForums Tanzania Tusipo tekeleza tathimini ya awali tutakosea pakubwa wizara ya elimu.

    Katika kuangazia maswala yetu ya elimu kuna mambo kadhaa yamefanyiwa mabadiliko kwenye utekelezaji wa sera ya elimu ya 2014 toleo la 2023. utekelezaji wa mabadiliko hayo umeendelea katika ngazi mbali mbali kwa mfano 1. Mabadiliko ya kozi mbali mbali (kwa ngazi ya vyuo vikuu na vya kati) 2...
  6. proff g

    JamiiForums Tanzania Kwani Polepole anapigania nini hasa?

    nivema sasa ukatulia ukamsikiliza tena nakufikiria zaidi maisha yako na ndugu zako halafu utapata jibu zingatia sana maisha ya ujumla ya ndugu zako
  7. proff g

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Warioba: CCM wako tayari kufanyia mabadiliko maeneo kadhaa kabla ya uchaguzi mkuu 2025. CHADEMA msimamo wao ni mkali mno, wanataka yote

    watanzania tunacho kihitaji sio viongozi wazuri tunahitaji mfumo mama ambao ni katiba na taasisi imara zitakazo wasimamia viongozi, hata kwenye mataifa yaliyo endelea sio kwamba wao wanaongozwa na malaika bali kuna mifumo imara, miongozo yetu ya sasa niile ya kiimani kwamba atatokea kiongozi...
  8. proff g

    JamiiForums Tanzania Je unaifahamu kozi medical physics?🤔🧐

    Nafikiri ukimaliza Anza kufukuzia kazi TAEC
  9. proff g

    JamiiForums Tanzania Kiusalama Marehemu Mchungaji Mtikila alikuwa na cheo gani??

    mwamba bado anadunda mtaani na anawapiga nondo za maana
  10. proff g

    JamiiForums Tanzania Kiusalama Marehemu Mchungaji Mtikila alikuwa na cheo gani??

    thanks a lot mkuu
  11. proff g

    JamiiForums Tanzania Kiusalama Marehemu Mchungaji Mtikila alikuwa na cheo gani??

    ufahamu wa sheria ni jambo moja hasa kwenye haya mataifa yetu ya kiafrika lakini nimuhimu sana kuwa na weledi huo wa kisheria, lisu kwakweli Mungu ampe maisha marefu wengine tunajifunza kutoka kwake
  12. proff g

    JamiiForums Tanzania Kiusalama Marehemu Mchungaji Mtikila alikuwa na cheo gani??

    sahihi kabisa
  13. proff g

    JamiiForums Tanzania Kiusalama Marehemu Mchungaji Mtikila alikuwa na cheo gani??

    hatujazusha jambo lolote tumejaribu kuuliza kwa wenye ufahamu wa hili, labda kama hujasikia wala kutazama hiyo video hapo juu, ingekuwa vema ukatufahamisha ili tuwe na uwelewa.
  14. proff g

    JamiiForums Tanzania Kiusalama Marehemu Mchungaji Mtikila alikuwa na cheo gani??

    Mtwangie simu aje Kwa kukimbia maana huyu mtikila Hadi tembea yake inaashiria alikuwa ana kaconfidence flani iv 🤣🤣🤣
  15. proff g

    JamiiForums Tanzania Kiusalama Marehemu Mchungaji Mtikila alikuwa na cheo gani??

    Mapambano yake yalijikita kisheria zaidi cha kushangaza tuko na Mzee wa ubwabwa
Back
Top Bottom