Mi Nina Uzoefu Na Mambo Ya Photoshoot na Videoshoot Nipo Mbeya Kama upo Tayari karibu Nikupe Mchanganuo Mzima wa Hiii Biashara ivyo
Call or Whatsapp 0710550860
Habari wana jamii Ni matumaini yangu ni wazima wa Afya Kikiwa kimepita kipindi kirefu toka Nilete maombi kwenu.
Niseme tu Asante Kwa waliokuja na kunipa mawazo na kunisahauri ila Nakuja tena mbele yenu kwa unyeyekevu Nikiomba ni mpate muwekezaji ili kuweza kulikamilisha wazo langu Baada ya...
Kiwango cha uwekezaji nilisha kiweka ila faida na hasara huwa namuelekeza mtu inakuaje na inafanyikaje tukisha kubaliana ili ajipime mwenyewe na nimeisha fanya ivyo kwa walio nifwata
ni kweli mkuu ila mimi kwenye animation siyo mtaalamu sana nilishindwa kuendelea kujifunza kutokama na changamoto za vifaa ila nina uzoefu na (adobe afterEffect, Autodesk Maya, Cinema4D, Blender) ila sijajua unataka animation za aina gani kamaitawezekana naweza kuingia kupinga msuli tufanye kazi
umeongea fact sana mkuu unajuwa watangulizi wetu walikosea mengi sana ndo maana wanatupa wakati mgumu kuaminiwa ata sisi tulio na nia ya kweli ya kufika mbali zaidi, unajuwa nakosa maneno ya kusema ila Na waombeni mlio na nia ya dhati kuwekeza kwenye hii kazi aje tufanye kazi najua yeye ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.