Recent content by professional skeptism

  1. P

    Nini kinaweza kufanyika kuweza kutatua maswala ya Maji kufurika mvua inapo nyesha Dar es salaam

    Mvua zinazidi na maji yanazidi wa taalamu wafanye kitu kinacho weza kupunguza
  2. P

    Nini kinaweza kufanyika kuweza kutatua maswala ya Maji kufurika mvua inapo nyesha Dar es salaam

    Nini kifanyike ili tuweze kuondokana na changamoto ya maji kufurika pindi mvua inaponyesha Jiji la Dar es Salaam, wadau mbalimbali tujitokeze tutoe mawazo ili kuweza kuliondoa Jiji letu la biashara katika Changamoto hii inayojirudia rudia pindi mvua zinapo nyesha.
  3. P

    Hali ilivyo mtaani baada ya Hotuba ya Mei kutoka Mbeya

    Kwa nini muda na gharama zinazotumika kuandaa sherehe za mei mosi zizitumike kufanya kitu cha maendeleo kwa jamii kuliko kutumia gharama kubwa kwa sherehe zisizo na badiliko
  4. P

    Kama tumeweza kuahilisha sherehe mbalimbali za kitaifa kwanini tusihailishe sherehe za Mei Mosi kama hazina badiliko lolote

    Kama tumeweza kuacha kuazimisha sherehe za Uhuru , Muungano na nyingine za kitaifa kuokoa fedha , kwa nini viongozi wa wafanyakazi na serikali wasiwe wanahairisha sherehe za Mei Mosi ili waweze kuokoa gharama na fedha zitumike kufanya kitu cha maendeleo
  5. P

    Orodha ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu wanaotakiwa kujisajili NIDA

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa kushirikiana na Bodi ya Uhasibu (NBAA), inawatangazia Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu nchini, kujitokeza Kusajiliwa kwa lengo la kutambuliwa kwenye mfumo wa Utambuzi wa NIDA na hatimaye kupatiwa Kitambulisho cha Taifa kwa ambao bado kufanya hivyo...
  6. P

    Serikali yapiga marufuku mazao ya uhandisijeni(GMOs) nchini

    hongera kwa kusaidia taifa na jamii kwa ujumla.
  7. P

    Uzi wa kuweka update yoyote kutoka NBAA, (Updates from NBAA Seminars)

    Kuanzia tarehe 15/10/2018 NBAA wanaanza kutumia mfumo mpya wa malipo wa GePG kwa huduma zote zinazotolewa na Bodi ya Uhasibu na Ukaguzi kama vile malipo ya mitihani , ada za uanachama , semina na huduma nyinginezo
  8. P

    Uzi wa kuweka update yoyote kutoka NBAA, (Updates from NBAA Seminars)

    CPA Maneno katika semina inayoendelea Mbeya amedokeza kuwa hivi karibuni Bodi itatoa tamko au waraka utakao onyesha itumie nini kwenye kuandaa taarifa zao za hesabu mf IFRS, IPSAS au vinginevo
  9. P

    Uzi wa kuweka update yoyote kutoka NBAA, (Updates from NBAA Seminars)

    Mnakalibishwa kuweka kitu chochote kinacho husiana na mabadiliko kwenye Taaluma ya Uhasibu na Ukaguzi
  10. P

    Tujikumbushe kidogo Misingi ya Uhasibu:

    Naomba tuendelee kuchangia ni vitu gani vinavyochangia au kutishia kuenenda na misingi ya Uhasibu na Ukaguzi na namna ya kuepukana navyo
  11. P

    Tujikumbushe kidogo Misingi ya Uhasibu:

    karibu kuongezea na kuchangia kitu ambacho kitatuwezesha kusonga mbele kwenye taalumu ya uhasibu na ukaguzi
  12. P

    Tujikumbushe kidogo Misingi ya Uhasibu:

    Misingi mitano ya taaluma ya Uhasibu na Ukaguzi. 1.Uadilifu (Integrity)- Mhasibu unatakiwa kuwa muwazi na muaminifu katika maswala ya taaluma na vinavyohusiana na kazi 2.Usawa (Objectivity)- Mhasibu usiruhusu kitu chochote , upendeleo au utashi wako ukahasili kufanya maamuzi yanayohusiana na...
  13. P

    usajillI wa ACPA NA ACPA pp

    Nauliza kuna uwezekano wa mtu aliye pata usajili wa ACPA akabalisha na kupata usajili wa ACPA pp kutoka bodi ya uhasibu na ukaguzi (NBAA)
Back
Top Bottom