Recent content by Prof: KG

  1. P

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Mtu mzito je mtu unaweza kuwa na kinga zaidi ya moja? Mfano we umenipa kinga then nikaenda kwa mtaalam mwingine akanipa kinga. Hivi inawezekana au ile ya pili itaivunja nguvu ya kwanza?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Habari mtu mzito. 1. Nasikia kuna tabia ya wachawi kumtoa mtoto au ndugu wa karibu ili ili yeye apande cheo, je inawezekana kuzuia ilo tukio kwa nguvu za kiganga? , if yes. Je kunamadhara yeyote kwa atakaezuia? 2.je kinga ya kiganga(majini) , haya majini hayawezi kumuaffect muhusika for any means?
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Hi
  4. P

    JamiiForums Tanzania TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Thanks@ENZO
  5. P

    JamiiForums Tanzania TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Kwa mwenyekujua plz! Nikitokea MWENGE nitafikaje kwenye hayo majengo ya NBAA?
Back
Top Bottom