Recent content by Prof Chinchi

  1. P

    Serikali hoi kifedha, Sasa kukopa...

    Very true, lazima watu waelewe kuwa mabadiliko ni lazima ili kuleta ufanisi wa serikali na maendeleo ya mmoja mmoja na taifa kwa jumla..... Na hakuna namna nyingine ambayo ni practical itakayowaelewesha watu ila ni kwa kuiface hali ngumu sana ambayi imezalishwa na serikali iliopo. Mi nadhani...
  2. P

    Serikali hoi kifedha, Sasa kukopa...

    Ni kweli mkuu mi nimesoma post flani ya m brits mmoja alifanya Tz chini ya miradi ya UNDP.. Yaani amemwanika JK mbay JK mbaya kabisa, anasema nchi zao haziko tayari kumwona Davos tena kuomba misaada ambayo haitumiki sawasswa.
  3. P

    Jihadhali na matapeli hawa hapa

    Asante sana kwa taarifa mkuu, maana mimi mwenyewe nimetumiwa meseji inayosomeka +15092142532: Your mobile # Has won 1,000,000 dollars in T.MOBILE PROMO USA, to claim send your name, phone number,Age,address,Job,sex to Robert Email:tmbus@outlook.com. Wazee tujihadhari sana na haya majizi
  4. P

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

    Huo ni mchezo wa kuwatakasa wenzake...na alilijua hilo ndo maana bungeni aliwaambia wabunge wahangaike na yeye...hamuoni hapo kuna deal inafanyika la kurescue wengine.
  5. P

    Wasomi waiponda PAC, wataka tume huru

    Kweli njaa mbaya....mi sijawaelewa kwanza maana composition yenu inadhalilisha elimu zenu mmejinunulia aibu kwa bei rahisi sana bora mngesema vijana wa sekondari.
  6. P

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    wakuu kwetu huku nyasaka, mwanza watu kibao hasa kina mama wamekuta majina yao yameshapigiwa kura...yaani hawa magamba ..they are up for anything possible
Back
Top Bottom