Recent content by Product Of Udsm

  1. Product Of Udsm

    JamiiForums Tanzania Hii ndio tafsiri ya kilichotokea katika jaribio la mapinduzi lililofanyika na Majeshi ya Wagner

    "Makaza" ndio nini mkuu sijaelewa hapo?!!!
  2. Product Of Udsm

    JamiiForums Tanzania Serikali haipoi, yapeleka Muswada Bungeni kubadilisha Sheria ya rasilimali za Taifa

    Sasa Watanzania Wenzangu kwani Si tunaambiwa Hawa Viongozi tunaowaajiri ni Sisi wananchi kwa maana Sisi tunawachagua??? Sasa Solution ni Moja tu Kwenye Balloon Paper. Ikishindikana Hapo ndio tujue Njia Mbadala. Hatuwezi tu Kila Siku Tunakuwa Watu wa Kulalamika na Kutia Huruma. Ila Tukumbuke...
  3. Product Of Udsm

    JamiiForums Tanzania Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

    Baada ya Kufanya Critical Research and Examination kuhusu Claims za baadhi ya Members wa hii thread huku mwishoni. Nimepata wasi wasi na kuanza kukubaliana na baadhi ya hoja zao Baada ya Uchunguzi wangu wa kina na kwa Ku Gather some sort of evidences nimefikia conclusion kwamba this story...
  4. Product Of Udsm

    JamiiForums Tanzania Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

    R..I. P leadermoe. Through this thread with series of your narrations I learned a lot. Rest easy where you are bro 😭
  5. Product Of Udsm

    JamiiForums Tanzania Prof Shivji: Nini kifanyike ili kujitoa kwenye mkataba wa DP-World?

    Mkuu hebu tudokezee kidogo japo hata kwa code (hiyo paragra ya mwisho)
  6. Product Of Udsm

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Malaika JIBRIL. Nimesoma hadi nikapigwa na kibaridi flani

    Kuna kucheka kwa hisia na kucheka kwa kufungua mdomo tu hivo hivo kwenye kulia
  7. Product Of Udsm

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Malaika JIBRIL. Nimesoma hadi nikapigwa na kibaridi flani

    Zenye mafunzo ndani yake siyo!
Back
Top Bottom