Sheria ilikuwepo na ilipitishwa na wabunge hawa hawa Zitto, Lema, Mbowe na mbatia walikuwepo.
Rais alieingia anafuata sheria tu wala msimuingize JPM kwenye hilo.
Kwa ninavyowaamini wabunge Makini kabisa wapo CCM, hivyo watatetea na kuja na sheria nzuri mbadala yenye mbnufaa kwa wote
Ndio Mimi ni Pro Magufuli kweli, ni ccm kweli.
Kuwa mkweli huoni hatar ya kupotezwa waliyonayo CUF ndani ya UKAWA?
Huoni kuwa CUF na vyama shirika ndani ya ukawa vinanyonywa tofauti na mahubir yenu yanayohamasisha usawa na haki?
Cuf anachukuliwa poa na mashabiki wa ukawa haswa chadema na kuwaona...
Hajala ila ajaruhusu zifanye kazi hadi sasa, ujue mashine kuharibika ni suala la emergency, hela zilivyopatikana zilipaswa pelekwa fanya kazi hiyo ya matengenezo haraka, kitendo cha kuchelewesha pasipo sababu ya maana nu hujma kwa maendeleo na wananchi.
Hivyo mkuu wa wilaya kamkumbusha kuwa...
Ishu si CCM wanapenda UKAWA ivunjike, Mpenda haki yeyote lazima awaonee huruma CUF walivyo vipofu na wanavyomezwa na kupotezwa ndani ya Ukawa.
Ukawa haina usawa, ukawa imeundwa kumjenga CHADEMA zaidi na si kuinua upinzani kwa ujumla wao.
Nani anakikumbuka NCCR now, Mabunge Mazezeta ya CUF...
Albadir ni silaha ya Kidini na sio uchawi, wewe mtu mzima tena Muislam unaenda kufanya unyama kama huo kwa ndugu zako wa kiislam tena mwezi Mtukufu wa Ramadhan?
Wallah hata asipowasomea Albadir Mwenyezi Mungu atawaadhibu.
Kuna vitu sio vya kufurahia hata kama wewe ni mpinzani, niliwahi kupost...
Ukiwa na akili lazma utengwe na vilaza wa CHADEMA, wao kazi yao ni kukumbatia Wajinga wenye kipaji cha vurugu na maneno mengi ya kilaghai, hilo mmewaambukiza hadi wafuasi wao.
Kumkosoa anapokosea atamkosoa na kama umeona kakosea Saidia kukosoa.
Magufuli si Mnafiki, anaita Kilaza pale unapokuwa kilaza na anakusifia pale unapostahili sifiwa.
Anamsifia JK kwa mazuri yake, na atamponda kwa uzembe wa kutofuatilia, kutojar yanayoendelea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.