Ni kweli kabisa viwango vya kimataifa vinavyozingatia afya na utu wa mtoto; muda ni masaa 4-5 kwa siku hivyo kama masomo yanaanza saa 2.00 asubuhi ukiweka saa 5 hapo muda ni saa 7 mchana.
Haya ya Vodabima upande wa Motor-vehicle Insurance; nilipata lawana sana kutoka kwa mtu ambaye alitaka Third Part Cover.
Kwa kuwa nilikuwa na hela kwenye M-PESA nikaona nitoe msaada, Kweli nikalipia ile Insurance maisha yakaendelea.
Siku moja saa 6.30 usiku napokea simu jamaa ananiambia kwani...
Miaka kadhaa majira ya Saa 11.20 alfajiri nipo Ubungo Maziwa nasubiri dereva wa ofisi anipitie ili tuwahi kikao pale Manispaa ya Morogoro (Mji kasoro Bahari).
Nikashangazwa kuona pale kituoni kuna wadada na watoto wadogo kabisa wanasubiri School Bus; ilinisikitisha sana.
Lakini nikakumbuka...
Nchi za Kiafrika zimejaa watu wa hovyo sana.
Yaani mtu ambaye hana BIMA ya Afya, hana uhakika wa maisha ya uzeeni, hana uwezo wa kupeleka watoto shule, hana chochote lakini bado akisikia mtu anasema serikali inatakiwa kuboresha kitu fulani, yeye anaona kuwa anayeongea ni mpinzani.
Nchi...
Jana nikiwa sehemu na familia nikapishana na mama mwenye nyumba; hii nyumba nilipanga miaka mingi nikiwa kijana mdogo kabisa.
Banda la uwahi chumba sebule self-contained, hii nyumba mpangaji nilikuwa mmoja tu; nyumba kubwa mama na watoto wake; hakukuwa na baba na sikujishughulisha kuuliza...
Siku hizi na hizi nyumba za Airbn ndio hatari kabisa.
Wanachukuana wenyewe 18 wanakwenda sehemu, wanakula, wanakunywa na kufurahi.
Halafu mtu mmoja anasimama na kusema ''Jamani hapa sisi wote ni watu wazima''
Ukiongezea na mzuka wa pombe, upotofu na tamaa za kimwili basi watu wanaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.