Recent content by prisy

  1. prisy

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Nauza mashine ya juice ya miwa, nauza kwa bei ya TZS 800,000
  2. prisy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji iPhone 6 plain yenye iCloud lock

    Habari za Leo wakuu, simu yangu imepasuka kioo hivo nahitaji kama kuna mtu ana simu Kama hii yenye iCloud aniuzie display. NB Kioo kiwe cheupe
  3. prisy

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI MSAADA NDUGU ZANGU

    Hiyo hapo ya Sam mahela 0715358535 Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  4. prisy

    JamiiForums Tanzania Diploma Holder waanza kupata Mkopo wa Elimu ya Juu

    Mm nimecheki namba yangu,nimekuta bado
  5. prisy

    JamiiForums Tanzania Diploma Holder waanza kupata Mkopo wa Elimu ya Juu

    Ww ni diploma holder,na nikweli umepata mkopo?
  6. prisy

    JamiiForums Tanzania Waraka wa kusikitisha na kuhuzunisha kwa ndugu Addo Shaibu

    Tunaisoma namba sana,juzi chuo waliandikisha majina ya waliokosa mikopo,ila kipaumbele chao ni uwe yatima,sisi watoto wa maskini tunaisoma
  7. prisy

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Ile form pale bodi ya mikopo ni kwa ajili ya nini?

    Ni kwaajili ya wanao appeal
  8. prisy

    JamiiForums Tanzania Nataka kujaza dodoso ila naambiwa hivi...

    Mm mwenyewe inaonesha hivyohivyo tu,ila mchana ilikubari nashangaa ss hivi Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  9. prisy

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio waliokosa mikopo HESLB-2016/2017

    Diploma mkopo ndio basi tena?Tunaisoma namba,sio kwa kutengwa huku Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  10. prisy

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliochaguliwa kuingia Chuo kikuu(diploma)

    Kama umeandikiwa selected,tembelea hii link TCU CAS | Home cas_core/view_provisional_results,uweke index no yako,utaona ulipo chaguliwa
  11. prisy

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Ifm bado hawaja sign, hata majina yenyewe bado hayaja bandikwa na ifmso
  12. prisy

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Ndio,waziri wa mikopo wa ifmso alisema majina yalikuja 200 wakayarudisha, yalitolewa kwa mfumo wa means tested
  13. prisy

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Bado,wamesema watabandika ijumaa.
  14. prisy

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wadau "hapa nimepata asilimia ngapi"

    Mm mwenyewe bado nasikilizia,maana milioni 1 na 50 ndefu
  15. prisy

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wadau "hapa nimepata asilimia ngapi"

    Ulishamaliza kufanya registration
Back
Top Bottom