Habari wakuu
Kwa anayehitaji Containers za 40ft ziko katika condition nzuri kabisa na zipo nyingi kama unahitaji basi nicheki tuzungumze
Bei 4600 USD
LOCATION KURASINI
.
Wakuu habari za majukumu
Nimatumaini yangu mko PowAhh. Naomba kupata mwongozo kwa yoyote mwenye kufahamu process na mambo muhimu ya kuzingatia ili uweze pata pikipiki za mkataba kutoka NMB maana ninahitaji kupata ili nitumie katika biashara yangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.