Recent content by princess mwaa

  1. P

    Wakuu, pitieni hapa. Nawasilisha

    Kaka mi nadhani huyo mdada haitaji kazi. Kama anahtaj kaz hawez kuwa too selective. Kwahiyo kozi atakuwa mtendaji wa kata au tarafa. so mwambie kuwa aaache u sista duu maana juz juz wame graduate zaid ya graduates 200 koz hyo hyo hapo IRDP. Na kwenye hyo koz kinachomata saana ni how to do it...
  2. P

    NISAIDIEN DADA YENU APPLE IPAD HAICHAJI IKAJAA

    habarin kaka na dada zangu. mimi ninamiliki ipad ya apple yenye GB 32 hv karibun ilizimika ikawa inadai upadates. baas nikai update ikawaka na ilikuwa inadai kuji reset ikajireset na ikawa poa kabisaa. sasa baada ya hapo kila nikiichaji haizidi 2%. jaman nachangamyikiwa, maana chaja yake...
  3. P

    Hiki ni kipimo kibovu sana cha kupima mafanikio yako

    kakaka nakupa big up uko vizur saana kwakweeli
  4. P

    If you want to make more more don't miss this opportunity, be V-pesa agency

    kaka kama msomi unayetaka kugusa watu wanaoelewa lugha tofaut kwa nn usiiiambie hadhira yaako kwanza V- pesa ni nn?? na je faida zake ni zipi (maan nina uhakika hautotaja hasara) na inafanyaje kaz na maelezo mengineyo??? hii najua ingrkuweken kwenye position nzuri ya kujitofautisha na matapel as...
  5. P

    Volunteer in project proposal wanted

    I used to volunteer but not in a such way, what i believ is that if you had such skills and experience in project matters you dont need to be employed.
  6. P

    Anachokifanya Katibu wa Bunge ni haki kwa Watanzania?

    Hujafa hujaumbika stanley leo unanisema hvyo ila kesho yatamtokea dadaako, mkeo au mwanao wa kike.
  7. P

    Anachokifanya Katibu wa Bunge ni haki kwa Watanzania?

    Ni kweeli kaka zangu inauma ila kwa upande wangu mm niliambia na shoga zangu kuwa kwenye hyo taasisi mpaka uwe unamjua mtu otherwise unajisumbua. so niliomba coz nilikuwa na vgezo vyoote tosha. Na usail niliupatia vzur saana kwa kweeli maana kqenye hyo kada nimeshafanya kaz miaka 2 kama intern...
  8. P

    Anachokifanya Katibu wa Bunge ni haki kwa Watanzania?

    Jaman licha ya kuwa na kelele nyingi kwa kile alichokifanya kwa watanzania mwezi wa tatu mwaka huu bado anaendelea na makosa yale yale. Tar 3 mwez 11 katibu mkuu wa Bunge alitoa nafasi nyingi saana za kazi ambao hakuzitangaza alizitoa kinyemela nyemela ila zikavuja na kutufikia sisi...
  9. P

    Je, hiki anachokifanya katibu wa bunge ni haki kwa watanzania?

    Jaman licha ya kuwa na kelele nyingi kwa kile alichokifanya kwa watanzania mwezi wa tatu mwaka huu bado anaendelea na makosa yale yale. Tar 3 mwez 11 katibu mkuu wa Bunge alitoa nafasi nyingi saana za kazi ambao hakuzitangaza alizitoa kinyemela nyemela ila zikavuja na kutufikia sisi walala hoi...
Back
Top Bottom