Recent content by princess BM

  1. princess BM

    BIMA (INSURANCE): Uliza chochote kuhusu biashara ya Bima

    Habari wana jamii nahitaji kujua namna ya kupata insurance kwa ajili ya kituo day care napataje asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
  2. princess BM

    Ni vitu gani vya udogoni unamiss kuvifanya?

    Tuliucheza huo..kula mbakishie baba na ukuti ukuti
  3. princess BM

    Ni vitu gani vya udogoni unamiss kuvifanya?

    Hahahaha ni kweli unashangaa manacheza kombolela hapa watu wanaenda kujificha mita 100 ni vituko kweli
  4. princess BM

    Ni vitu gani vya udogoni unamiss kuvifanya?

    Mkuu umenikumbusha mbali sana mimi nilikuwa napenda kucheza Kim ama na kibaba sikuzote mimi nilikuwa nakuwa mama,pía kupika pika kwenye vikopo tunachukua michele madukani hata kuiba ila daah utoto kazi ili kujipikilisha pikilisha[emoji28][emoji28],na kombolela mpaka usiku ila cha ajabu kuna watu...
  5. princess BM

    Tuliotoboa maisha kibishi tukutane hapa

    Hongera mkuu mafanikio ni changamoto ila ukishafanikiwa unasahau yote
  6. princess BM

    Usiombe kudaiwa na TALA

    Hahahahaa. ...nafikiri wanafanya hivyo ili uone kero ulipe maana si kwa SMS zile
  7. princess BM

    Jinsi Ya Kujua Fursa Za Kibiashara Zinazokuzunguka Hapo Ulipo Sasa

    Asante nimekupata haswa kwenye misingi mikuu yakufanya biashara ifanikiwe wengi tumefail hapo...mtu anafungua biashara hajui hata maendeleo yake. ..afuatilii chochote tunabaki kulaumu wafanyakazi. .Asante sana
  8. princess BM

    Hivi Walokole feki (Hasa Wanawake) mtapata lini akili juu ya haya? Jirekebisheni.

    Uwe makini na maneno unayoongea coz siri ya mtungi ajuae ni kata Wewe huwezi kuona umuhimu wake coz upo nje waache kwenye Imani zao waendelee na ukiendelea hivyo utamkosea Mungu
  9. princess BM

    Watumishi wa serikali wapya 3000 waliofukuzwa kazi wapanga kufungua kesi mahakamani

    Sasa kama hawana hela ya kuwalipa waliwaitia nini kazini..kupotezeana malengo tu
Back
Top Bottom