Recent content by Prince_Lusamwa

  1. P

    Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusiana na Muswada wa Mahakama ya Kadhi

    Mungu ndio mtetezi wa wanyonge, naamini lililoupande wa mungu litashinda na lisilo upande wa mungu halitashindwa
  2. P

    Watasubiri mpaka lini?

    Ni matumaini yangu wana jukwaa wote mko salama kiafya, kama ni kinyume na hivyo pole sana na endelea kumuomba Mungu akuponye haraka. Ni zaidi ya mwezi minane sasa imepita toka walimu wa diploma na cheti walipoondoka chumba cha mtihani kwa Mara ya mwisho, na ni zaidi ya miezi mitano imepita...
  3. P

    Prof. Baregu: Zitto ni mzigo

    hivi chadema ni chama cha manabii? zitto ni zawadi ya watanzania toka kwa mungu na sio mtoto wa chadema, tujadili njisi ya kuikomboa Tanzania toka mikononi mwa mafisadi tusipoteze muda kutukana zitto, ACT WAZALENDO wala chadema, kufanya hivyo ni kupoteza muda wa kujadili mambo ya msingi, I love...
  4. P

    Uzinduzi wa chama ACT Tanzania March 29, 2015, kumbe walikuwa hawajazindua?

    it's insane to reply the stupidy comment, ACT-TANZANIA we always stand against humiliation, depression and fraudness, we stand against conservative, we serve for the less fortune, Tanzania is my country, my Tanzania will come first to every thing. I LOVE TANZANIA
  5. P

    Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

    the way get busy to discuss your enemy's issues you make them more powerful than you, madem(chadema ) keep talking, WAZALENDO WE KEEP MOVING
  6. P

    Zitto: Ninaunga mkono UKAWA!

    bado ushahidi wa zitto kuiunga mkono UKAWA haujajitosheleza
Back
Top Bottom