Hii yote ni kujitahidi kuficha aibu ya tarehe 4 ili jezi za alizeti ziuzike zaidi.Basi sawa ila kumbukeni kuna jela na guest(Mishahara na malumbano baadae).
Njia pekee ya Nyuki Fc kuifunga SIMBA ni kuingia na refa wao na visu vya kuwachoma au kuwatisha wachezaj wa SIMBA.Vinginevyo kuna mchezaji anaenda kuvunja rekodi ya kibadeni.
9 disemba ni UHURU wa Tanganyika(Tanzania bara) na sio sherehe za uhuru wa Tanganyika na Zanzibar kama mtoa hoja ulivyotudanganya pia.Japo BASHITE nae kachapia.Ni kama Zanzibar zinavyofanyika sherehe za Mapinduzi.
Tatizo kubwa la vyama vya upinzani viongozi wake ndio wenye pesa zaidi kuliko wengine.
Ila akikaa masikini na mwenye uzalendo pale hatomaliza miaka ya kikatiba hata kama atafanya vizuri.
Kwasababu hatokuwa na timu ya kuilipa ili imshangilie kwahyo umasikini wa kipato na akili wa sisi vijana...
Hii nchi ili usiumie sana nafsi yako usijihusishe na SIASA.Vinginevyo utaumiza nafsi yako tu maana wanasiasa wanafanana tofauti ni mmoja ana nafasi ya kukandamiza zaidi na mwingine ana nafasi ya kukandamiza wa chini yake.Bado hajapata nafasi ya kukandamiza wengi zaidi.
Siku CCM wakiamua kubadili katiba ya nchi kwa wingi wao bungeni ili kiongozi wa nchi aruhusiwe kugombea zaidi ya mara moja.Sijui ni Chama gani cha upinzani kitakuwa na nguvu ya kupinga maana CCM watakuwa na hoja fupi tu,Kuwa tunawaiga nyinyi huo mfumo maana tumeona unamanufaa kwa kiongoz anapata...
Zitto atakuwa mjinga sana kama atatoa Chama chake katika uchaguzi maana haina faida kubwa kulko hasara zake.Wapinzani kwa viherehere vyao hadi walihamasisha watu kujiandikisha wakati zoezi liliposuasua sasa wananchi wamejiandikisha halafu mjitoe tena.Ni ujinga kama watafikiria kuisusia UCHAGUZI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.