Recent content by prince onesmo

  1. prince onesmo

    Magufuli, unayajua ya Hazina na Msajili wake mpya?

    Km wasomi wenyewe ndio wametuingiza kwenye aya majanga ya nn mwacheni tu...wanatumia pesa ivyo awajui uchungu Wa nchi hii
  2. prince onesmo

    Magufuli, viongozi wote wa UKAWA wafilisiwe

    kutoka dar city center adi mbezi hakuna open space serekali ya ukawa iligawa zaidi hiyo moja tu huko mbezi waliko mbomolea huyo mama kweli serekali mpya ya chama kimpya inafanya kazi!! kweli mungu hata walaani kwakitendo chakutoka dar city center kufuata nyumba moja tu huku mbezi ya mfuasi wa...
  3. prince onesmo

    Ni nini tafsiri ya Rais Magufuli kuandika barua kwa mkono ya kumpendekeza Waziri Mkuu

    Watu noma aaaah raid hajui computer kwa anaandika
  4. prince onesmo

    Ni nini tafsiri ya Rais Magufuli kuandika barua kwa mkono ya kumpendekeza Waziri Mkuu

    Amsikilizi radio na kuangalia TV hao mnaowataja walikua wanabashiri kama wanaobet
  5. prince onesmo

    CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

    Udini...uchama...ukabila ndio unaturudisha nyuma ....uchaguzi ushakwisha tuwe kitu kimoja tujenge inchi
  6. prince onesmo

    Rwanda: Tanzanians Get Taste of Kagamecracy Made in Rwanda, and Loving it

    Ndio ushangae kwann hatufanikiwa....km MTU anatumia kilicho chako kupata mafanikio afu wewe unashindwa bogas kabisa...imagine wangejaliwa vikubwa km vyetu tungewapata hawa
  7. prince onesmo

    CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

    Haaaa awa ukawa wanaangaika tu
  8. prince onesmo

    Mishahara mipya na kodi

    Kaka inauma unafanya kazi unateseka unalipa kodi kila sehemu na sehemu zingine tunalipa mara 2 ila awalioni zen pesa zetu wanaonga watoto washule kunywa pombe na kutembelea kila aina ya magari
  9. prince onesmo

    Mwanamke aliyebadili jinsia na kuwa mwanaume ajifungua mtoto wa kiume...

    Sijajua ata bungeni kuna sehemu wanatumia au wanakua washajiandaa kufanya madudu,Km watunga na kuzisoma sheria wanafanyamadudu sisi tufanyaje au wanatufundisha nn hapa ndo napokubali bunge lirushwe recorded, mtoto mdogo anaeimizwa kuangalia bunge akafanyeje shuleni na mtaani aisee huu ni...
  10. prince onesmo

    Mishahara mipya na kodi

    Qwani nani kamtusi mwenzie bro
  11. prince onesmo

    Waislam wa misri wazuia kanisa lisichomwe motomjini Cairo maajabu hayoooo

    Cjajua hoja yako yamaanisha nn ila kwa kukazia tu tambua na kukojolea msaafu ni kitendo kinachoweza kifanywa na muhuni tu na muhuni ana dini over!
  12. prince onesmo

    Hoja potofu za wapinga mabadiliko ya Muungano na mamlaka kamili kwa Zanzibar

    Wanapindisha ukweli au sijui ndo mwisho wao wa kufikili cjajua mantiki yao, sitetei hoja ya vijana ila kwenye ukweli uongo ujitenga kuna usemi unaosema mtoto akililia moto mpe ashike sasa iweje ulazimishe kutubebesha mzigo mzito uku wao wakila bata
  13. prince onesmo

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Asante sana kk ironga maana awa ndo wale we unanyonywa unajifanya bado unatetea Aya makubwa tanzania sikuizi kama somalia matukio ya hivi ni mengi na hatujui anaehusika ila onyo tisipoangalia yale ya nigeria na kwingineko yatatujusu
  14. prince onesmo

    Happy birthday Tata Madiba

    Nilicho furai ni yale yaliopangwa kufanywa sehemu mbali mbali km heshima kwake
  15. prince onesmo

    Askari walinda Amani wa JWTZ wauawa Darfur

    Kwenye vita kufa ni kawaida mbona uganda wana idadi kubwa ya wanajeshi miaka yote na wanakufaga amsemi au wao ndo wanastaili kufa
Back
Top Bottom