Recent content by prince hall

  1. prince hall

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Hiyo ni ciggrate gani? Mimi natumia Embassy California love
  2. prince hall

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Vitendea kazi,thug life[emoji28][emoji1787] California love
  3. prince hall

    Dah! Ila wanawake mnavumilia mengi

    Siwezi kuwa na shemeji kama wewe, California love
  4. prince hall

    Wizara ya afya ,tunaomba mtulipe interns

    Aiseee,kwahiyo tutakuwa tunakula mawe? California love
  5. prince hall

    Dah! Ila wanawake mnavumilia mengi

    Kwahiyo ww una sura nzuri??? Uolewe sasa California love
  6. prince hall

    Wizara ya afya ,tunaomba mtulipe interns

    Yaaah,kwakweli miezi mingine tulilipwa vizuri,kuhusu kuextend internship bado hatujapewa taarifa rasimi California love
  7. prince hall

    Wizara ya afya ,tunaomba mtulipe interns

    Upande wa pili upi??? California love
  8. prince hall

    Wizara ya afya ,tunaomba mtulipe interns

    Tutashukuru sana kaka,kwa maelezo niliyopata jioni hii,wizara ya afya bado haijapewa hela na BOT,kwahiyo tatizo lipo wizara ya fedha California love
  9. prince hall

    Wizara ya afya ,tunaomba mtulipe interns

    Thank you California love
  10. prince hall

    Wizara ya afya ,tunaomba mtulipe interns

    Una ID ya ummy mwalima tumtag[emoji1787]? California love
  11. prince hall

    Wizara ya afya ,tunaomba mtulipe interns

    Daa aisee tunakomaa kweli kweli,nyumbani wazee wanatutegemea na corona hii tabu kweli kweli California love
  12. prince hall

    Wizara ya afya ,tunaomba mtulipe interns

    Hahaa wakati kwenye barua ya wizara wameandika haikatwi kodi California love
  13. prince hall

    Wizara ya afya ,tunaomba mtulipe interns

    Miezi mingine tulikuwa tunapata kama kawaida labda kwa baadhi yetu wachache waliohamia California love
  14. prince hall

    Wizara ya afya ,tunaomba mtulipe interns

    Shukrani boss, kwa kweli inaumiza sana yaani unaingia job saa moja na nusu asubuhi unatoka saa 11 jioni halafu pesa haulipwi kwa muda, California love
  15. prince hall

    Wizara ya afya ,tunaomba mtulipe interns

    Ni kweli boss, hospital zote za mkoani hatujalipwa ila Muhimbili na Mbeya wamelipwa na hospital zenyewe ili wizara ikilipa hospital pesa ibaki kwenye hospital, hospital hizi zimelipa kwa sababu Wana mapato makubwa ,lakini huku mikoani hospital haziwezi kulipa California love
Back
Top Bottom