Kwa ambao hatukuwepo enzi Berlin conference ushuhuda ni huo Israel kuchukuwa ardhi kw lazima na Rusia kuchukua ardhi ya Ukraine na marekani kuitaka Venezuela na China kuitaka Taiwan n.k wakimaliza huko watakuja Tz na nchi nyingi za Africa watakuja na hatutawafanya chochote japo enzi hizo Babu...
Kosa ulilitengeneza mwenyewe hutakiwi kumlaumu mwanamke. Kwa vile kosa ni lako unatakiwa umsamehe muendelee kutunza familia. Kama angesababisha yeye hilo kosa basi ungempa talaka na hili liwe funzo kw wanaume wote mnaoacha wake zenu miezi kadhaa had mwaka yeye si malaika. Ana hisia kam ulivyo...
Kwenye makaa ya mawe na chuma msimulaumu bi mkubwa kwa kuwa waliopita wote wameikuta mikataba na wemeiacha na bi mkubwa naye msimuangushie jumba bovu lililowashinda waliomtangulia
Watu wakubwa ktk nchi hawawekwi lupango kam watu wa kawaida ktk jamii bali sehemu maalumu ya kupata huduma zote ambazo unaweza ukazipata ukiwa nyumbani kwako
Hivi kwenye nafikria kw hekaheka hizi Mwenyekiti wa uchaguzi wa CHADEMA anamtangaza Tundu Lisu ndiyo mshindi wa uchaguzi afu Mwenyekiti anayemaliza muda wake anagomea matokeo na ufunguo wa ofisi hataki kutoa yeye na wafuasi wake nini kitatokea?
Hili andiko limenikumbusha Ahmed alivyotaka kuchukuwa form ya urais akaambiwa si mtanzania mara ataleta vita mara......n.k hivyo nikawaida ya wanasiasa wakitafuta madaraka hutumia njia zote za siri na za dhahiri ilmradi wabakie madarakani hakika aliyeandika kitabu cha the door of no return...
Kila mfanyabiashara akifilisika mnailaumu serikali dah kw hiyo utumie Mali zako kw maharusi na matanuzi dubai afu serikali ije ikufidie itafidia wangapi tz hii?
Hili jambo la madawa kuwa mateja walikuwa wanabost inabidi lifike mwisho ndio maana viongozi hawataki kulisikia kw kuwa hivi vilabu viwili ndio nembo ya nchi na ndio huliingizia taifa fedha za kigeni hivyo hili jambo inabidi liishe lisifike duniani
Nimeishi ubaruku nikawa naenda mbeya kufuata spear za trakta lkn inasikitisha baadhi ya vifaa tulikuwa tunaagiza kutoka Arusha.nikaenda mpanda Katavi ukienda mbeya hivyo vifaa hamna ukiagiza Arusha kinakuja hivyo nikajua Mbeya agiza vyakula tu hapo utapata muda wowote lkn si vya viwandani...
Umenikumbusha nilikuwa Visiwani Nkome huko mesome tunavua samaki jioni baada ya shughuli za uvuvi mnaingia bandan kutazama kweli watoto tulisimama mlangoni kumsubiria msamalia mwema aje atulipie ivo kila aliyekuja mnamuangalia kw huruma ili awalipie akishawalipia mnakaa mbele baada ya boringo za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.