Naisubiri siku mipango yangu ifanikiwe ntarudi mashuleni nikawaambie wadogo zangu wakiwa wanaendelea na mapambano ya shule wasisahau there's so much peace in life, nimeona watu wakiskip churches, watu wakiskip important discussions zinazohusiana na maisha sababa ya shule, watu wakiingia kwenye...
Binafsi katika maisha ya shule
primary School
Nilikuwa sikosi katika Top three, ya wanafunzi waliofanya vizuri KARIBIA miaka yote na kama nilishuka basi ilikuwa Top 5
Na sikuwahi kuzingatia ile kwamb nisomee kweli kweli lakin nachokumbuka na nnachojua mpaka saivi jealous ndiyo iliniweka katika...
umeandika ndugu yangu✊🏾😊
pia elimu. Kabla hawajapewa mitaji vijan inabidi waelezwe ukweli aise elimu na kujiamin kupitia Mungu wake..maisha Yamejaa siri nje ya PESA tunayoiangaikia kila siku
They tell us their secrets of success and doesn't involve spiritual power at All ☺💔 there's working...
Mahusiano yanahusisha mambo mengi na huhusisha mtu zaidi ya mmoja. Uhusiano wowote ule! Mara NYINGI mtu akitaka kuuanzisha mara nyingi ( always) huwa tayari anakuwa ametengeneza picha ya NAMNA ayo mahusiano yatakavyokuwa mara nyingi labda itokee bahati mbaya ( Accidental) ..,
Lakini pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.