Recent content by Prezdaa Shaco

  1. P

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO MBONA NIMEMNYANG’ANYA MPANGAJI WANGU REMOTE YA KUINGIZIA LUKU ILI ALALE GIZA KWAKUA AMEKATAA KUNILIPA KODI YANGU ILA NASHANGAA AMEWEZA KUWEKA UMEME BILA HIKI KIMITA CHA KUWEKEA UMEME, ATAKUWA AMETUMIA NJIA GANI NA NIFANYE NINI ILI KUDHIBITI NJIA HIYO.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Baba hana haki ya kuishi na Mtoto wake chini ya Miaka Saba?

    Naombeni Msaada wenu, Nimempeleka ustawi wa jamii mwanamke alienizalia mwanangu ili ikiwezekana anipe mwanangu nimlee mwenyewe kwani mazingira anayoishi nae mwanangu hayaniridhishi. Lakini Ustawi wa jamii inaonekana ipo kuwatetea wanawake na sio wanaume kwani licha ya kuwaambia naitaji nimlee...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mnatukatisha tamaa NACTE

    NACTE mmetupa majibu bila ya uthibitisho chuoni (confirmation) sasa tuwaelewe vipi mana hatujui hatima yetu hadi Lini Mana Nimeenda chuo kuchukua Admission latter nimeambiwa hatukutambui jina lako halipo. Daah mwenye kujua zaidi kuhusu hili tupeane ushauri...!!
  4. P

    JamiiForums Tanzania Majanga matupu NACTE

    Sawa...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Majanga matupu NACTE

    Mwenye ya haraka mawasiliano ya NACTE plz help me
  6. P

    JamiiForums Tanzania Majanga matupu NACTE

    Kwan second batch wanaweka kwenye orodha ile ile ya mwanzo au wataandika second selection
  7. P

    JamiiForums Tanzania Majanga matupu NACTE

    Mimi nimeomba UDOM program mbili, MUCE programm mbili na DUCE moja, na GPA yangu yaniruhusu kuomba vyuo hivo ndio mana nikaomba
  8. P

    JamiiForums Tanzania Majanga matupu NACTE

    Vyuo nilivyoomba wameshatoa majina yao Mimi simo, Profile yangu sijaambiwa kama niombe tena sasa Niwaeleweje hawa NACTE Naomba msaada kwa anaeelewa chochote...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Wale wa NACTE

    Profile hawajaweka kitu
  10. P

    JamiiForums Tanzania Wale wa NACTE

    swahibu rajabu
  11. P

    JamiiForums Tanzania Wale wa NACTE

    Alichagua UDOM program mbili na UDSM program mbili Vyote vishatoa majina yeye hayumo
  12. P

    JamiiForums Tanzania Wale wa NACTE

    Hujajibu swali langu, ni website gani responsible kutoa hayo majina
  13. P

    JamiiForums Tanzania Wale wa NACTE

    Haya asante kwa taarifa kumbe wanatoa kwa awamu,
  14. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anaefahamu hili kwa wale wa NACTE

    Naomba msaada wenu hivi tulioomba vyuo kwa kutumia NACTE majina waliochaguliwa yanawekwa kwenye website ya NACTE au yanawekwa kwenye website ya vyuo pamoja na wale Fresh. Maana kuna ndugu yangu kaomba UDSM na UDOM ila majina yametoka yeye hayumo, na kwenye profile yake hajaandikiwa chochote na...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Wale wa NACTE

    Naomba msaada wenu hivi tulioomba vyuo kwa kutumia NACTE majina waliochaguliwa yanawekwa kwenye website ya NACTE au yanawekwa kwenye website ya vyuo pamoja na wale Fresh. Maana kuna ndugu yangu kaomba UDSM na UDOM ila majina yametoka yeye hayumo, na kwenye profile yake hajaandikiwa chochote na...
Back
Top Bottom