Recent content by pretyg

  1. P

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    Naomba tuwasiliane kwa namba 0655669836 nikuambie dawa kaka angu,karibu sana.
  2. P

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kuna tawi moja la Nmb lipo mkoa wa kilimanjaro ukitaka mkopo hata kama ushakamilisha kujaza fomu zao mpaka upige magoti!Tofauti na CRDB na benki nyingine zilizopo hapa.Natamani kuhamisha mshahara wangu!
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mwili kutoa harufu (body odor): Chanzo, jinsi ya kuzuia na matibabu yake

    Ulishapata suluhu ya tatizo lako?Naweza kukusaidia,tuwasiliane.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

    Samahani ndg yangu ulishapata suluhu ya tatizo lako?Km bado tuwasiliane kwa 0655669836 ntakusaidia
  5. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

    Nitumie namba yako nikupatie dawa za kuongeza uzito.Karibu sana.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    Ni MP nikupatie dawa ndg yangu,ni nzuri mnooo na itakuacha ngozi ikiwa kama ya mtoto wa mwezi mmoja.
  7. P

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Evz naomba namba yako plzzzz.
  8. P

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Za asbh wapendwa,nnandg yangu yupo singida vijijini anatafuta mtu wa kubadilishana nae wa wilaya yoyote ya kilimanjaro au arusha.Yupo shule ya msingi.
  9. P

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo MWANGA Kilimanjaro nije Bagamoyo,Kibaha,Mkuranga au Dar wilaya yoyote.Nipo idara ya sekondari.
  10. P

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anaeyaka kuja mwanga mi niende bagamoyo,kibaha,mkuranga,kibaha au dar idara ya sekondari
  11. P

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Evz tubadilishane mkoa mdg yangu uje K'njaro nije Pwani.
  12. P

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nashukuru sana ndg yangu kwa kunielewesha,barikiwa.
  13. P

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Za kwenu wapendwa? Naomba kuuliza hivi inawezekana kubadilishana mikoa au ni wilaya tu? Naomba msaada wenu tafadhali.
Back
Top Bottom