Dogo: Mama hivi malaika si wanapaa?
Mama: Ndiyo wanapaa, Kwanini umeniuliza hivyo?
Dogo: Nimemsikia baba jana anamuita dada (housegirl) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa?
Mama: Ndiyo atapaa, kuelekea kijijini kwao kesho, ----'mamake!!!Dogo: Mama hivi malaika si wanapaa?
Mama: Ndiyo wanapaa...