Recent content by prettya

  1. prettya

    JamiiForums Tanzania TCU inakwepa majukumu yake kuhusu Postgraduate Studies?

    Toa na mifano ili kusisitiza
  2. prettya

    JamiiForums Tanzania KERO Uonevu wa wanaokamata Wrong Parking

    Mkuu Dar es Salaam kubwa ungekua specific wenye mji wao wapo humu wanasikiliza
  3. prettya

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda, hivi Rais Samia anajua hizi shule zinazofunguliwa hazina walimu na wanagawana walewale wachache?

    Too general hata huyo waziri itakua ngumu kwake kuchukua hatua at least ungekua specific kwa mifano
  4. prettya

    JamiiForums Tanzania Hii Vita isiyo rasmi na ya chini chini yenye Mafumbo mengi baina ya Maaskofu wa Katoliki Tanzania na Mtume Mwamposa naiona peke yangu au?

    Mabenchi yapo wazi wapi huko? Tuje tushuhudie Huku kwetu kuna misa tano na zote zinajaa achana na ya watoto ya saa 10
  5. prettya

    JamiiForums Tanzania Hii Vita isiyo rasmi na ya chini chini yenye Mafumbo mengi baina ya Maaskofu wa Katoliki Tanzania na Mtume Mwamposa naiona peke yangu au?

    Kila mtu abaki na imani na utaratibu wake..ukiingilia ya wenzio hutayaelewa Yaan leo ukawaambie waislam wazike kwa majeneza itawezekana kweli?
  6. prettya

    JamiiForums Tanzania Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zenye watoto wa miaka 4

    Salam ziwaendee Wazazi,mzazi ndo kila kitu katka hili
  7. prettya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Asante rafiki ang
  8. prettya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Kha!Umeniogopesha
  9. prettya

    JamiiForums Tanzania Unaijua mila ya kutakasa Wajane Ukerewe?

    Na vipi mwanaume aliyefiwa mkewe, je naye anatakaswa?
  10. prettya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    [emoji849][emoji849][emoji848]
  11. prettya

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani unaweza kufanya isiyohitaji uangalizi wa mara kwa mara?

    Salaam kwenu wote Kama kichwa kinavojieleza, ni biashara gani mtu alie buzy anaweza fanya? Karibuni kwa mawazo tushee experience zinaweza saidia na wengine pia
  12. prettya

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na Jinamizi hili kila nikilala naomba Msaaada na Ushauri

    Jitahidi kusali kabla ya kulala
  13. prettya

    JamiiForums Tanzania WORLD BANK: Tanzania economic growth will drop sharply to 2.5% in 2020 from the projected 6.9% by the government due to effects brought by COVID-19

    Anguko la Uchumi litazikumba nchi nyingi duniani na si Tanzani pekee kutokana na jangwa la corona
  14. prettya

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanapenda kuigana kununua magari?

    Kwan we unafikir wananunua ili kupendezesha road?? Acha kuchunguza ya watu fanya yako
Back
Top Bottom