Recent content by Prakatatumba abaabaabaa

  1. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Mzazi anaona bora mtoto alipwe laki 3 akiwa ameajiriwa kuliko kupata million 1 ya kujitafutia

    Kama upo BOT au TRA mama anaweza kuwa na sababu, ila kama sijui mwalimu, police aah, kingine huyu dogo ni homeboy wangu so namfahamu baba yake ni mfanyabiashara mzuri tu
  2. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Mzazi anaona bora mtoto alipwe laki 3 akiwa ameajiriwa kuliko kupata million 1 ya kujitafutia

    Hasa wazazi wa Afrika, wanahisi kama wanakumiliki, ata uwe na miaka 40 bado watataka kuinfluence maamuzi yako.
  3. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Mzazi anaona bora mtoto alipwe laki 3 akiwa ameajiriwa kuliko kupata million 1 ya kujitafutia

    Sasa unakuta mtu yuko na familia mshahara alishakopea akajenga, analipwa laki 4.
  4. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Mzazi anaona bora mtoto alipwe laki 3 akiwa ameajiriwa kuliko kupata million 1 ya kujitafutia

    Kwa maelezo yake anasema, mzazi alimwambia hata afanye nini hayana maana, yaani mzazi amuamini kabisa mtoto.
  5. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Mzazi anaona bora mtoto alipwe laki 3 akiwa ameajiriwa kuliko kupata million 1 ya kujitafutia

    Hahaha, Kuna mmoja ninaye analipwa laki 3 nadhani alikopa anajenga na yuko na watoto watatu.
  6. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Mzazi anaona bora mtoto alipwe laki 3 akiwa ameajiriwa kuliko kupata million 1 ya kujitafutia

    Nadhani hili mentality ipo sana kwa wazazi wetu hasa ambao. Hawakufika shule nadhani, waliishi katika dunia ambayo waliamini kuajiriwa ndio kila kitu. Week iliyopita nilikua kwenye mji mmoja unaitwa Msalala geita hapo, kuna harakati sana za madini, nikakutana na homeboy wangu mmoja...
  7. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Polisi Wamkamata Mwanachama wa CHADEMA kwa kosa la kuiba michango ya Tundu Lissu

    Aya bana, wajiandae haya mambo yakibackfire
  8. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Gen Z ni kizazi ambacho kitakuja kuwa na mafanikio kuliko sisi millennia

    Nilikutana na gen Z mmoja ameenda Kenya kutafuta ujuzi, anasema Kenya wako mbali kidogo kuliko huku kwetu
  9. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Gen Z ni kizazi ambacho kitakuja kuwa na mafanikio kuliko sisi millennia

    Unajua kizazi cha leo kukuta dogo under 30 anamiliki kampuni au yuko financial freedom ni simple sana, wakati sisi millennia tulipata stable economy 40+ Millennia waliamini kusoma ni ufunguo wa maisha, matokeo yake wameshika viti ofisini hawataki kwenda kusoma kuongeza elimu, akipata likizo...
  10. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Sina Deni anapenda Maswali: Kwa nini biashara ndogo Tanzania zinapata ugumu wa kukuza mitaji?

    Umeandika kitaalamu sana, lakini mambo ya biashara kufa ni mengi mno. Serikali yako kwanza haijali biashara yako kukua, iko sio jukumu lao, wenyewe wakupe mzigo wa kodi wanunue V8,..kodi kama zote. Pili ni ushindani wa biashara, maeneo mazuri ya biashara tayari yameshajaa, so mtu anatafuta...
  11. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Usijifunze mafanikio kutoka kwa wanawake, utaumia!

    Brother ushauri wako naufanyia kazi nitarudi kukupa mrejesho.
  12. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nijiunge na JF nimekuwa nikivutiwa sana na SERAN

    Achana na mke wangu broo
  13. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Usijifunze mafanikio kutoka kwa wanawake, utaumia!

    Kuna mmoja anajiita nana sijui nono, alinunua harrier kwa pesa ya boom
  14. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Usijifunze mafanikio kutoka kwa wanawake, utaumia!

    Nawaambia broo wanabisha.
Back
Top Bottom