Unachokihitaji hakuna atakayeweza kujibu moja kwa moja bila kuwa na mazungumzo ya kina yenye dhima ya kupunguza ugumu wa swali lako...
Mazungumzo hayo yataambatana na vitu vifuatavyo:-
1. Uelewa wako kuhusu nyumba.
2. Ukubwa wa familia yako.
3. Matarajio yako hapo baadae.
4. Kiasi cha mteremko...
UTANGULIZI
Practical Idealist ni Account maalumu ya mitandao ya kijamii iliyoanzishwa na watu wenye taaluma na uzoefu mbalimbali katika tasnia ya ujenzi mnamo mwezi May, 2020 katika Jiji la Dar es Salaam huku lengo lake kuu ni kutoa msaada wa Ushauri(Consultation) bure kabisa kwa Watanzania wote...
Unachokihitaji hakuna atakayeweza kujibu moja kwa moja bila kuwa na mazungumzo ya kina yenye dhima ya kupunguza ugumu wa swali lako...
Mazungumzo hayo yataambatana na vitu vifuatavyo:-
1. Uelewa wako kuhusu nyumba.
2. Ukubwa wa familia yako.
3. Matarajio yako hapo baadae.
4. Kiasi cha mteremko...
*NAMNA SAHIHI ZA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UJENZI*
*Habari Boss*
*Karibu Sana Tuelimishana Namna Sahihi Zaidi Kadhaa Za Kukusaidia Kupunguza Gharama Za Ujenzi Wa Mradi Wako*
Unaweza Ku-Share(Kushirikisha) Ujumbe Huu Kwa Watu Wako Wa Karibu, Unaweza Kuwasaidia Sasa Au Wakati Mwingine Kwa Namna...
Nawashukuru sana WanaJF wote mliotumia muda wenu kupitia chapisho langu.
Pia niwashukuru kwa michango mliyoitoa katika chapisho hili huku ahadi yangu ikiwa ni kuwaletea mrejesho wa yote haya mliyoyachangia.
Mzidi kuishi katika amani na upendo, nawatakieni siku njema na kazi njema.
Ahsanteni....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.