Recent content by Pozzers

  1. Pozzers

    JamiiForums Tanzania Kwa Mfanyabiashara Anaeweza Kuzalisha 1m kwa Mtaji wa 5m kwa wiki

    Kwa milioni 20 sawa ila kwa milioni 5 ni uwongo
  2. Pozzers

    JamiiForums Tanzania Kwa hili janga la umeme nahisi sasa watanzania wameelewa Magufuli aliposema yeye ni Rais wa wanyonge

    Tanzania nchi ngumu sana. Naibu waziri mkuu anasema hajui na hawezi sema tatizo litaisha lini lakini chawa mmoja huku anatuambia linaisha karibuni [emoji23][emoji1787]
  3. Pozzers

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amjibu Mbowe kwamba umaarufu wa Lowasa uliibeba CHADEMA

    Amesema ukweli mtupu... kuna vitu havifutiki sijui kwanini hawakuweka hii part Uwezi kuandika historia ya Lowassa bila kutaja CHADEMA. Ni kujidangaya tu. Hili ni taifa letu sote
  4. Pozzers

    JamiiForums Tanzania Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

    Leo tarehe 07 Februari 2024 Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. Tundu Lissu alipata mwaliko wa kufanya mahojiano maalum na kituo cha Luninga cha Wasafi Tv katika kupindi cha Good Morning kinachoanza saa 11 alfajiri mpaka saa mbili asubuhi. Jana usiku moja ya watangazaji wa kipindi hicho alimpigia Mhe...
  5. Pozzers

    JamiiForums Tanzania Nani anamlinda Gekul? DPP asema hana mpango wa kuendelea na kesi

    DPP ndio anaye own mashtaka. Infact yeye ndioa anayepeleka mashtaka mahakamani. Kazi ya mahakama ni kusikiliza parties na kutoa hukumu. DPP akiamua kuondoa shitaka mahakamani, huwezi kusema ameingilia mamlaka ya mahakama. Mamlaka yepi kwanza!
  6. Pozzers

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais anaeweza kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja kwa shughuli maalamu?

    Kanisani tunaenda kusali sio kuhutubia haya mambo yalianza kipindi cha Magu, huko kwa akina Mkapa na Nyerere hizi mambo hazikuwepo.
  7. Pozzers

    JamiiForums Tanzania Anaripoti Askofu Mwamakula hakika nchi hii % kubwa watu wamekuwa zaidi ya wanyama

    Anaripoti Askofu Mwamakula hakika nchi hii % kubwa watu wamekuwa zaidi ya wanyama. Tunaomba Rais akemee watu wake hawa maana yeye ndo mkuu wao kuanzia utumishi na wazazi wenye watoto wa kike tusiruhusu waende huko huo ni uuaji kama uaji mwingine. BINTI ALIYELALA NA WANAJESHI AJILIPUA! Kuna...
  8. Pozzers

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Tanga Wana bahati sana wametoa Mawaziri muhimu Watatu na Naibu Waziri

    Lkn nani anasema teuzi za Afrika zinatokana na weledi wowote wa mteuliwa kama sio connection?.. Kwamba pamoja na shida zote za umeme mwenye weledi kuongoza wizara ni mtu yuleyule na si tofaut na hivyo?..
  9. Pozzers

    JamiiForums Tanzania Msafara wa kwenda kukagua shule!

    Ili wakipata ajali wafe wote sio[emoji16][emoji23]
  10. Pozzers

    JamiiForums Tanzania Msafara wa kwenda kukagua shule!

    Hivi nani katuloga!!??
  11. Pozzers

    JamiiForums Tanzania Abiria wagoma kushuka kwenye kituo cha mabasi cha Magufuli, Mbezi Louis

    Imagine Unatoka Safari ya bukoba na basi umechoka Halafu wewe unakaa kigamboni - Mji mwema umeshushiwa Mbezi stand Saa 6 Usiku Si bora hata wakushushie Chalinze uwanze kutembea taratibu [emoji3525]
  12. Pozzers

    JamiiForums Tanzania Kwanini rushwa haiishi Tanzania?

    Wabongo tunatanguliza Rushwa hata kwenye mambo ambayo unaweza kufuata utaratibu tu na ukafanikiwa. Hivi kwanini?
  13. Pozzers

    JamiiForums Tanzania Kwanini muziki wa Dance sasa hivi umekosa mvuto na unazidi kupotea kwenye taswira ya Sanaa?

    Nadhani aina ya music wa dansi wa Sasa hautengenezi kizazi Kipya na Hata hao Wasanii wa kufokafoka wanatoka Kwa Juhudi zao na sio kwamba wanatengenezwa kama ilivyokuwa THT.
Back
Top Bottom