Pozzers JF-Expert Member Joined Sep 14, 2013 Posts 337 Reaction score 560 Aug 11, 2022 #1 Wabongo tunatanguliza Rushwa hata kwenye mambo ambayo unaweza kufuata utaratibu tu na ukafanikiwa. Hivi kwanini?
Wabongo tunatanguliza Rushwa hata kwenye mambo ambayo unaweza kufuata utaratibu tu na ukafanikiwa. Hivi kwanini?
Saa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 6,523 Reaction score 12,949 Aug 11, 2022 #2 Pozzers said: mambo ambayo unaweza kufuata utaratibu. Click to expand... Mambo kama yapi?
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,956 Aug 11, 2022 #3 Pozzers said: Wabongo tunatanguliza Rushwa hata kwenye mambo ambayo unaweza kufuata utaratibu tuu na ukafanikiwa. Hivi kwanini? Click to expand... "Popote penye udhia penyeza rupia"----- walonga wahenga. Watnzania hawapendi shida na udhia.
Pozzers said: Wabongo tunatanguliza Rushwa hata kwenye mambo ambayo unaweza kufuata utaratibu tuu na ukafanikiwa. Hivi kwanini? Click to expand... "Popote penye udhia penyeza rupia"----- walonga wahenga. Watnzania hawapendi shida na udhia.
Notorious thug JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 2,815 Reaction score 10,717 Aug 11, 2022 #4 Rushwa ikiisha na Tanzania inaisha