Nilitegemea ungeleta walau utitiri wa video tena kwa makanisa mengi kama ilivyo leo,makanisa yamegeuka kua majukwaa ya siasa,nategemea kuona matamko ya kupinga uchaguzi wa 2019 na Ule wa 2020 , nategemea kuona matamko ya kupotea Ben saa nane,nategemea kuona matamko ya wafanya biashara ambao...
Wakati Lisu anapigwa risasi wote tuliona ukosoaji ulivyokua wakinafki,hatujaona matamko ya dhati na msimamo wa kanisa,hatujaona maandamano kama ya leo ya no reform,uchaguzi wa 2019 na Ule wa 2020 wote tunajua kilichotokea ila cha ajabu leo matamko yanakua mengi kuhusu mwenendo wa uchaguzi na...
Mkuu nikumbushe matamko waliyotoa hawa wakosoaji wa Sasa kipindi kile wasiojulikana waliposhika Kasi Hadi kutaka kumuua Lisu, au Yale hayakua mauaji? Ni makanisa mangapi yalionya kuhusu uvunjifu wa amani? Kwamba mmekua wasahaulifu au mlinufaika na utawala ule na Sasa hamnufaiki tena?
Mkuu hao ni wadudu wameshambulia nyanya yako, wanaitwa Tuta Absoluta ( kantangaze) , jitahidi utafute Dawa yoyote yenye Chlorfenapyl mfano ukipata SNOW TIGER utamaliza tatizo, au hata Zenye Emamectin Benzoate kama shida sio. kubwa sana
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa,hiyo ni dalili ya minyoo,hivyo anapaswa kutumia dawa ya minyoo,but sio albendazole Bali atumie ivermectin ambayo inachomwa chini ya ngozi,Mana inaonyesha minyoo wameathiri hadi ngozi,kwahiyo kwa matokeo ya haraka aachane na albendazole
Mkuu mimi tayari ninayo,ila kuna spea zimezingua na nashindwa kuzipata, Powertiller
Yenyewe imetengenezwa Korea na inaitwa DAEDONG ,Naomba nisaidie upatikanaji wa spea zake,
Chokaa yoyote ni majivu ya jiwe lililochomwa kwenye moto, hivyo nijuavyo Mimi chokaa yoyote inafaa kwenye kilimo,ila itumike kwa kiasi kisichozidi gram 10 kwa kila shimo
Ungeonyesha walau kwa ufupi makosa yao,mnapoendelea kuwashikilia kwa dhulma kumbukeni pia kua wale ni viongizi Wa kiimani na wanaheshimiwa na waumini wao, kama nikweli wana makosa sisi hatutetei uhalifu,ila mbona haki haipo? In upelelezi gani usikamilike kwa miaka 6 sasa? Tens ukiwa umemshikilia...
Pole sana Mkuu, hao ni wadudu ( stalk borer) wanashambulia sehem ya jani changa na mwisho kusababisha Mme a kudumaa na hatimaye kufa. Wahi mapema kwa moja kati ya viuadudu hivi ; duduall au dudumectin au Imida au Atakan au Multi Alpha au Dume au fiprofarm au spidex....ukikosa hizo muombe muuzaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.