Recent content by Power Supply

  1. Power Supply

    Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

    Wewe tena hiyo nyingine, tena hata haiusihani kabisa. Bora ufute tu hiyo post udini siyo mzuri
  2. Power Supply

    Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

    Serikali itaamua kuingana na sheria
  3. Power Supply

    Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

    Kihelele kimewaponza wanafikiri kila taarifa ni ya kutoa kwa kuwa umejua, kila kitu kinamipika na miiko. Usimuige tundu lissu kwa kuwa alisema yeye ni mwanasiasa na inawezekana kwa kusema hayo ni sehemu ya kutengeneza status yake katika kazi yake, sasa wewe kajambanani mmoja kutoka chifutuka...
  4. Power Supply

    Umasikini si kitu chema

    Umasikini si kitu chema
  5. Power Supply

    Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Vipimo fake huko uarabuni, na South. Wanataka kuaminisha dunia kuwa Tanzania tuna waathirika wengi wa covid. Kama kufa kupo kupo tu hata isingekuwepo hiyo covid tungekufa tu.
  6. Power Supply

    Tulirukia gari kutahamaki tupo kambi ya jeshi

    Hata ss tuna la kuwatambishia watoto wa kishua, vitu kama wtoto wa kishua wmevimiss pia
  7. Power Supply

    Je, kwa maono yako unaionaje dunia mwaka 2100 (Maisha, Teknolojua, Mazingira, Imani, n.K)

    Note my words; nitakuwa nipo kwenye watu wakukumbukwa kitaifa na kidunia.
  8. Power Supply

    Hawa mbwa hawana urafiki na mtu wasiyemfahamu. Ulinzi Shirikishi niliwakatalia baada ya kuwa naibiwa home then wanataka niwachangie mwisho wa mwezi

    napenda mbwa lakini hiyo jamii no aisee... kifo hicho wanaweza kuu mtu ndani ya dakika chache hao.
  9. Power Supply

    Athari za ukatili zinavyowatesa walimu

    Asilimia kubwa ya watanzania ni vilaza, vilaza ni watu wenye sifa pia ya kutojitambua wala kufikiria kabla ya kunena. Sishangai kuona wengi humu wanawesema vibaya walimu isipo kuwa wachache makini tukiendelea kushukuru fadhira za walimu wetu kwa hata haya maarifa tuliyonayo. Kilaza wewe ambaye...
Back
Top Bottom