Recent content by Powel Mizengo

  1. P

    JamiiForums Tanzania Msaada, Tafadhal Naombeni list ya vyuo vya kilimo hapa tanzania vinavyotoa diploma

    National Sugar Institute,kipo Kilombero Kidatu
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni zipi Tabia za Mabinti Wapogoro

    Nani kakudanganya!!!!!!
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni zipi Tabia za Mabinti Wapogoro

    Sawa mkuu niPM basi ili tueweze kutana au vipi!!!
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni zipi Tabia za Mabinti Wapogoro

    Habari za Jumapili wana JF, Nimesafiri nipo maeneo fulani hivi huku Ifakara Upogoroni, nipo kikazi. Kwa kweli wenyeji wangu wamenipokea vizuri sana, iIa naomba mnisaidie kwa yeyote anayejua kiundani tabia za kabila la huku hususani hawa mabinti Manake ntakuwepo huku for almost 2months, nadhani...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Msaada Jamani

    Naomba kuuliza!!!Nina shemeji yangu ana Diploma ya IT anataka kuendelea na Degree ameniuliza ni kozi gani tofauti na IT anaweza endelea nayo ambayo anaruhusiwa kuomba nafasi ya chuo?Na ipi ni marketable?
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanizidi umri

    Mi nilizani amekuzidi miaka kumbe ni miezi!!!!Mi nina mtu namfahamu amepitwa miaka 20 na mumewe lakini wapo powa tu!!!!sembuse wewe anakuzidi miezi kadhaa!!!!
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanizidi umri

    Mi nilizani amekuzidi miaka kumbe ni miezi!!!!Mi nina mtu namfahamu amepitwa miaka 20 na mumewe lakini wapo powa tu!!!!
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho:mwalimu anataka kuitoa roho...

    Nadhani mtakumbuka wiki mbili zimepita tangu nilipowaeleza kisa cha yule rafiki yangu na mchumba wake ambaye ni mwalimu huko Moro! Baada ya kupokea maoni na ushauri wenu wanajamvi;hasa ukizingatia wengi wenu mlishauri asirudiane naye,nami nilimshauri hivyohivyo. Chakushangaza jamaa aliendelea...
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matiti makubwa!

    Duh!Kah!!! Ila haya yamezidi ukubwa jamani!!!!Sikuwa na maana maziwa makuuuuubwa namna hiyo!!!Sema nimekosa picha ningeitupia!!!!Napenda makubwa wastani,yawe ya mviringo namagumu na si yalolepweta kama ndala!
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matiti makubwa!

    Wadau naomba kuuliza!Mwanzoni wakati naanza mahusiano ya kimapenzi nilikuwa napenda sana wasichana wenye chuchu ndogo, but as time went on nikajikuta napenda wenye matiti makubwa Kinachonichanganya zaidi ni pale washikaji zangu wanavyowadis wenye mtindi! Nini maoni yenu wadau katika hili? I...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke kati ya miaka 30 - 35

    Kazi kwelikweli..........!!!
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

    Kwa kweli hata mimi naunga mkono hoja hii!!!manake yalonikuta kwa hao Pimbi!!!we acha tu!!Huo utafiti ni wa kweli!!!Kwa ambao bado mnaishi na hao mapimbi jike fanyeni utafiti tu mtafahamu uhalisia wa hoja hii!!!
  13. P

    JamiiForums Tanzania simu used inahitajika leo tar 30.4.2014

    mi nina Blackberry 985 nipigie 0715 70 10 70
  14. P

    JamiiForums Tanzania Nyumba yakupanga bei cheee!

    Ipo Dar mkuu!!
  15. P

    JamiiForums Tanzania Nyumba yakupanga bei cheee!

    Ipo Dar es Salaam!!
Back
Top Bottom