Recent content by Potassium Cianide

  1. Potassium Cianide

    Trafiki Dodoma waanza kutafuta pesa za Xmass kihuni

    Wakati tunaelekea Krismasi, kuna matrafiki wameanza kuwanyanyasa raia isivyo halali. Naongelea mfano wa leo leo. Taarifa iliyonifikia inasema hivi: "Trafiki kituo cha Msembeta Dodoma wameamua kuvua uniform na kujificha vichakani wakiwa na kamera zao binafsi kuvizia magari kilometa mbili kabla...
  2. Potassium Cianide

    Fahamu sera ya Jamiiforums ktk kuhariri habari zake

    . Nimependa hapo kwenye rangi ya BLUU... Kwa ufahamu zaidi, hebu soma makala hii: Protection of sources · What we do · Article 19
  3. Potassium Cianide

    Tuache Siasa ktk Uchumi: Wachumi tuelimisheni Dhambi ya Fixed Deposit na Faida ya Fedha Kukaa tu BoT

    Tutofautishe kati ya usahihi wa sera na uzingatiaji wa sera--policy validity vs policy compliance. Bodi ya TRA walionyesha compliance failure, na adhabu waliyopewa ni halali. Hata hivyo, hilo halituzuii kujadili iwapo sera husika ni sahihi au vinginevyo. Wachumi wanaweza kutusaidia katika...
  4. Potassium Cianide

    NEC wanaficha kura za matokeo ya uchaguzi 2015?

    Wakuu, nimeingia website ya NEC ili nichukue takwimu za matokeo ya kura za urais, ubunge na udiwani kwa kila jimbo na kata, lakini hakuna kitu. Kuna kijitabu hiki hapa lakini nacho hakina kitu... Mwenye data hizo naomba plz...
  5. Potassium Cianide

    Gazeti la MIZANI na uchochezi dhidi ya Rais, Waziri Nape lifute hili gazeti

    Tuhuma hizi zijibiwe kwa hoja. Zinafanana sana na zile zilizo katika kitabu cha Aboud Jumbe (hayati). Zote zina muundo ufuatao: Kama uteuzi usingekuwa unaambatana na ubaguzi wa kidini, badi mgawanyo wa nafasi ungekuwa pasu kwa pasu kati ya wakristo na waislam, wanawake na wanaume, vijana na...
  6. Potassium Cianide

    Tuchukulie kwa mfano tumeamka kesho tetemeko likapiga Chato

    Maswali yako yote yanafikirisha.
  7. Potassium Cianide

    Mjue Said Mtanda, DC wa Nkasi kule Rukwa

    Hotuba yake hii hapa"...
  8. Potassium Cianide

    Said Mtanda vs Dr. Hamis Kigwangalla

    Unamwongelea Said Mtanda huyu?
Back
Top Bottom