"Tanzania haindelei kwasababu ya Matabaka,Hii inasababishwa na Rushwa iliyokithiri, Sasa wanaokula na kupokea Rushwa Wachunguzwe, Wakamatwe,Washitakiwe,Wahukumiwe, Wafungwe,Wafilisiwe, ikiwezekana Wanyongwe" Nyambari Nyangwine (Mb) Tarime,
Michango Malidhawa 12/05/2015 Bungeni Dodoma.