Pius Masusuri atua rasmi kumvaa Wassira Bunda

Marwa Chacha

Senior Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
102
Reaction score
51
Mtangaza nia wa ubunge jimbo la Bunda kamanda Pius Masururi atua rasmi Bunda kumvaa Mhe S Masatu Wassira katika uchaguzi Mkuu October.

Pius ataanza ziara rasmi wiki hii katika amsha amsha katika kata zote kutoa elimu Kwa wakazi Bunda kujitokeza kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kipindi kitakapofika jimbo la Bunda .
 
Attachments

  • 1433307254001.jpg
    1433307254001.jpg
    88.4 KB · Views: 365
Tunaksubiri huku kwetu kijiji cha kibara kamanda
 
huyu jamaa ni hovyo kabisa,katapeli watu wengi na kuchukua mali zao kwa mbinu za kishirikina,hovyo kabisa,narudia tena hovyo kabisa huyu
 
Mtangaza nia wa ubunge jimbo la Bunda kamanda Pius Masururi atua rasmi Bunda kumvaa Mhe S Masatu Wassira katika uchaguzi Mkuu October.

Pius ataanza ziara rasmi wiki hii katika amsha amsha katika kata zote kutoa elimu Kwa wakazi Bunda kujitokeza kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kipindi kitakapofika jimbo la Bunda .

Vivaa Chadema Bunda kumekucha:thumbup:
 
Wakazi wa Bunda hawana elimu na yeye ndio anawapelekea kwa muda gani atawapa hiyo elimu mpaka waelekezwe kujiandikisha katika daftari. Hivi hamuwezi tangaza nia zenu mpaka muwatusi wananchi wasio na hatia? Na mbona Wassira katia nia upresidaa manake Bunda hayupo tena.

Mtangaza nia wa ubunge jimbo la Bunda kamanda Pius Masururi atua rasmi Bunda kumvaa Mhe S Masatu Wassira katika uchaguzi Mkuu October.

Pius ataanza ziara rasmi wiki hii katika amsha amsha katika kata zote kutoa elimu Kwa wakazi Bunda kujitokeza kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kipindi kitakapofika jimbo la Bunda .
 
Pius yule Tapeli? Haaa haaa hata kama Bunda wamekosa mtu bora wakae wapweke.
 
huyu jamaa ni hovyo kabisa,katapeli watu wengi na kuchukua mali zao kwa mbinu za kishirikina,hovyo kabisa,narudia tena hovyo kabisa huyu

Tutaona na kusikia mengi mwaka huu.
 
jina lake sahihi ni pius masururi,bora hata kaka yake anaitwa baraka angetangaza nia kulikool hii.....$#$%$###%&%#
 
Mbona hata maji marefu anastyle zake za uganga na ccm walimpa ubunge
 
huyu jamaa ni hovyo kabisa,katapeli watu wengi na kuchukua mali zao kwa mbinu za kishirikina,hovyo kabisa,narudia tena hovyo kabisa huyu
weka ushahidi humu kamanda,
By the way serikali haiamini ushirikina, hivyo kama una uhakika weka ushahidi
 
Back
Top Bottom