mm niko mwaka wa kwanza na nliappy kwa mara nyingine tena, nimepata taarifa kwamba jina langu limeonekana kwa walio kosea kuapply . ombi langu kwa yoyote awezaye anitumie majina yote link nizame mwenyewe maana site ya HESLB nimesumbuka bila mafanikio yoyotr
wakuu habari zenu
naomba mtu mwenye majina ya undergraduates waiochaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha mzumbe year 2014/15
nmeshayatafuta saana lkn sijafanikiwa kuyaona
Hahaha dah... mpe mda mkuu . Pia inaonekana anashinda kwenye tv saana na kanisan ndo maana anauelewa mkubwa wa hayo mambo .. tumia mda mwingi kumfundisha ... bandika hata picha za irabu ukutani kwake azione mara kwa mara itasaidia

TAARIFA MUHIMU KWA VIJANA WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014
"Makamu mkuu wa jesh la kujenga taifa, anapenda kuwatangazia vijana wote waliomaliza kidato cha sita 2014 wale wote waliopangwa jeshi awamu ya pili, wafike kambi walizopangwa na kuchukua barua za kambi husika.
Barua hizo ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.