Sio kwamba tuna hela, mimi nikipata hapo Gari sitaki tena Kwenda kazini, Kwa misingi hiyo Tsh 400,000 ya mafuta Kwa Mwezi nimeokoa, bado mke wangu, kujenga mjini sina uwezo si bora nipandishe huko pembeni ya mji nihamie mjini, Na ndio maana nampa offer ya 900,000 maana nikipangisha nyumba yangu...