Apartment for rent (Mchikichini Project NHC) Ilala

Ya ni kwa ajili ya watz wanaoishi nje ya nchi. Inalipa mkuu ..short let...wateja ni wengi tatizo kuna wakati utakuwa huwa wateja

Kwa wasitani kwa mwaka ni kiasi gani naweza ingiza? Una ofisi inajiusisha na mambo hayo kama ndio nitumie contact au details za hiyo kitu kwenye email yangu. Kama kuna pesa tutafanya biashara
 
Nimekuwa nikipitia website mbali mbali zinazotoa matangazo hapa TZ, kuna ubabaishaji mkubwa sana. Kuna tangazo la apartment hizi hizi za Ilala mchikichini, sijui ni wewe mwenye hilo tangazo au ni mtu mwingine, kama ni wewe basi jirekebishe, otherwise utakuwa unachanganya wateja wako.

1. December 15, 2014. Tangazo liliingia kupatana.com likionyesha apartment inakodishwa kwa $450/=
Mchikichini Resident | Dar es Salaam | Kupatana

2. January 5, 2015. Tangazo liliingizwa tena kupatana.com, mara hii kodi kwa mwezi ni Sh. 800,000/=
APARTMENT FOR RENT | Dar es Salaam | Kupatana

3. January 12, 2015. Tangazo likaingizwa kwa mara ya tatu kupatana.com, kodi ikisomeka Tsh 100,000,000/=
NHC Mchikichini apartment | Dar es Salaam | Kupatana

4. January 13, 2015. Tangazo liliingizwa kwa mara ya nne kupatana.com, kodi ikiwa Tsh 1,000,000/=

5. February 25, 2015. Tangazo liliingizwa kwa mara ya tano kupatana.com, kodi ikiwa $ 1,000/=
3bdrm for Rent at Ilala, Mchikichini, Dar es salaam | Dar es ...

Kutokana na namba moja ya simu kutumika mara zote tangazo linapotolewa, inaonyesha tangazo ni la mtu mmoja, leo hii lipo jamiiforums bei ikiwa tsh 1.4million.

Je leo hii nikikupigia simu nikahitaji hiyo apartment kwa Tsh. 800,000/= kwa mwezi kama ulivyoeleza hapo nyuma utakubali?

Jipange mkuu, unapoteza wateja.
 
Salamu mkuu,
Kwa nashukuru kwa kujijulisha kuna hiyo kitu inaitwa kupatana ndio kwanza naishikia kwako,
kuhusu hilo TANGAZO sio langu, nimetangaza mtandaoni leo kwa mara ya kwanza na ni hapa JF,
ila pale mchikichini kuna APARTMENT 48 hivyo yawezekana kuna mtu mwingine anapandisha pia ameweka huko, hizi apartment zilianza kubabidhiwa mwaka jana mwishoni hivyo hivyo nafikiria kwamba kuna mtu anatangaza appartment yake
Nimesoma tarehe hizo za kupatana nikizani ni za leo ila ni tofauti hivyo sio tangazo langu.

Nadhani aliye Tangaza alikubaliana na pressure ya madalali, kama una namba yake mpigie mimi sijaweka namba kwenye mitandao nimetumie email
Lakini pia nikujulishe naenda kuweka TANGAZO huko kupatana baada ya wewe kuitaja hapa kwa hii bei yangu, nikushukuru sana kwa kunijulisha huo mtandao, na kama unaijua mingine nitashukuru pia kwa taarifa

Ume copy na ku paste kila kitu...

Mchikichi Residential Apartments are located at Ilala-200 metres off Kawawa Road, just less than 2kms from City Centre with easy access to the airport and all other important parts of the city. The three bedroom apartments have a spacious lounge, dining, ensuite master bedroom, 2 bedrooms with a shared toilet and bathroom, a modern kitchen and utility area. All apartments have a total floor area of 115.8m² and are within gated-compound.
THANK YOU
 
Ume copy na ku paste kila kitu...

Ndio ukweli wa hizo apartments, kuna taarifa za kitaalamu hapo kama location na ukubwa wa nyumba sasa niumize kichwa kwa sababu zipi? maelezo ya hizo apartment wakati zinauzwa ni hayo sasa kwa nini wakati wa kuziupandisha nisitumie ukweli huo huo, nijifanye genius!!! ningekuwa nimeajili mtu wa marketing akafanya hivyo kidogo hoja yako ingekuwa valid
Pic ya kwanza ya alignment imetoa hayo maelezo hayo hayo na ni ya NHC hizo pic nyingine nimepiga mwenyewe.
 
Mkuu Gulf Streamer nimepitia link ulizoweka na kuyasoma matangazo yote, nimegundua yote ni ya mtu mmoja, Tangazo la kwanza aliweka nyumba ikiwa bado kuisha na la pili ni hivyo hivyo,
Ila yeye anapandisha apartment iko furnished kwa mujibu wa Tangazo lake la nne na la tano, Tangazo la nne na tano yanafanana ila naona alikosea bei kwenye namba nne.
Kwa misingi hiyo kuna matangazo manne, tofauti ya bei nadhani ni hizo furniture, mimi siweki furniture ila chumba kina kabati kubwa na wardrobe moja .
Nyumba inaweza panga na kuchuka bei yake kutegemea mwenye nyumba anatoa offer gani, mimi nimetoa offer ya ulinzi, huduma ya usafi na utunzaji bustani hivyo mpangaji atalipia bili ya maji na umeme tu mengine ni jukumu langu

Nimekuwa nikipitia website mbali mbali zinazotoa matangazo hapa TZ, kuna ubabaishaji mkubwa sana. Kuna tangazo la apartment hizi hizi za Ilala mchikichini, sijui ni wewe mwenye hilo tangazo au ni mtu mwingine, kama ni wewe basi jirekebishe, otherwise utakuwa unachanganya wateja wako.

1. December 15, 2014. Tangazo liliingia kupatana.com likionyesha apartment inakodishwa kwa $450/=
Mchikichini Resident | Dar es Salaam | Kupatana

2. January 5, 2015. Tangazo liliingizwa tena kupatana.com, mara hii kodi kwa mwezi ni Sh. 800,000/=
APARTMENT FOR RENT | Dar es Salaam | Kupatana

3. January 12, 2015. Tangazo likaingizwa kwa mara ya tatu kupatana.com, kodi ikisomeka Tsh 100,000,000/=
NHC Mchikichini apartment | Dar es Salaam | Kupatana

4. January 13, 2015. Tangazo liliingizwa kwa mara ya nne kupatana.com, kodi ikiwa Tsh 1,000,000/=
APARTMENT FOR RENT | Dar es Salaam | Kupatana

5. February 25, 2015. Tangazo liliingizwa kwa mara ya tano kupatana.com, kodi ikiwa $ 1,000/=
3bdrm for Rent at Ilala, Mchikichini, Dar es salaam | Dar es ...

Kutokana na namba moja ya simu kutumika mara zote tangazo linapotolewa, inaonyesha tangazo ni la mtu mmoja, leo hii lipo jamiiforums bei ikiwa tsh 1.4million.

Je leo hii nikikupigia simu nikahitaji hiyo apartment kwa Tsh. 800,000/= kwa mwezi kama ulivyoeleza hapo nyuma utakubali?

Jipange mkuu, unapoteza wateja.
 
Last edited by a moderator:
ndg yangu amini usiamini ndio bei za ilala kwa wakati huu kwa apartment ambayo ipo fully fenced na yenye usalama wa kutosha zinafikia hapo laki8 mpk 1.5m/month

ASANTE kwa taarifa mkuu
 
Nice..kila kitu na watu wake..bei si tatizo
Wewe ni mtu mungwana na mwelewa sana, kuna watu humo wakiona kitu hawana uwezo nacho hata kama ni kizuri vipi watatafuta namna ya kukiondolea sifa, pia biashara ni maelewano sasa kwa nini kurusha kashfa, i hope ni watoto wa shule ndio wanafanya hivyo, imagine mtu anasema unadhani hela tunaokota, as if kujenga watu wanatumia vifuu vya kuokota
 
Mkuu Kwa Tsh 900,000 Kwa Mwezi tumalize biashara, maana natafuta apartment Karibu na mjini mwanangu amenisahu maana natoka majogoo narudi usiku amelala, niko serious Mkuu
 
ehh haya bana...wenye hela nendeni

Sio kwamba tuna hela, mimi nikipata hapo Gari sitaki tena Kwenda kazini, Kwa misingi hiyo Tsh 400,000 ya mafuta Kwa Mwezi nimeokoa, bado mke wangu, kujenga mjini sina uwezo si bora nipandishe huko pembeni ya mji nihamie mjini, Na ndio maana nampa offer ya 900,000 maana nikipangisha nyumba yangu sikosi 250,000 hivi Kwa Mwezi nikijibana sikosi hiyo rent
 
Mkuu Kwa Tsh 900,000 Kwa Mwezi tumalize biashara, maana natafuta apartment Karibu na mjini mwanangu amenisahu maana natoka majogoo narudi usiku amelala, niko serious Mkuu
Kiongozi offer yak iko chini sana, kumbuka mwenye nyumba lazima alipie vitu kama ulinzi ( kuna walinzi wawili kwa shift na ni 24 hours) pia usafi na matunzo ya busitani, bills zinazokuhusu ni maji na nishati tu.
Ukiwa na wasaa pitia ujionee ni nyumba nzuri sana utafurahi kuishi pale
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom