Recent content by Posa

  1. P

    Mabankers Tusaidieni: Je, Commissioner General wa TRA ana Mamlaka ya Disclosure Details za Account ya mtu?

    Huwa napata taabu kujua kama watu wanaelewa tatizo la tra Kwenye hili jambo. Tatizo sio tra kuweza kuona akaunti za watu/kampuni, tatizo ni kutangaza kilichopo huko. Kwa sababu hicho sio kilichowapeleka huko. kwa uelewa wangu walitakiwa kuishia walipo sema hawajaona akaunti yoyote anayomiliki...
  2. P

    Mabankers Tusaidieni: Je, Commissioner General wa TRA ana Mamlaka ya Disclosure Details za Account ya mtu?

    TRA walienda kuchunguza ana kiasi gani cha fedha au kujua kama kuna kodi serikali instahili kutoka kwa mchungaji?
  3. P

    Kama huna ngozi nene usigombee urais!

    Kwa nini wahojiwe polisi wasichokielewa pale nini mpaka wamhoji.
  4. P

    Polisi: Yeyote mwenye taarifa za uhakika za aliyemlenga Nape kwa bastola atujulishe

    Polisi wetu inabidi waajiri waganga wa kienyeji labda watasaidia maana naona intelijensia yao inaishiwa mbinu kabisa
  5. P

    Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Kwenye hili jambo Haya ndio majibu ya serikali? Maana mpaka sasa hivi sijaelewa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. P

    Waliopinga Wanyama asipewe mtaa walisema si uzalendo, Je Gor Mahia nao si wazalendo kwa kumpa Magufu

    Tunashukuru Kwa ufafanuzi ila najiuliza hizo taratibu zimefuata kote tulikobadilisha majina ya mitaa, mfano mwai Kibaki, Barack Obama, etc
  7. P

    Peter Msigwa: Rais kuwaandikia barua Wakuu wa Mikoa kwenye majanga sio sahihi

    Ukifuatilia Haya majadiliano utagundua kuna tatatizo kubwa sana la uelewa wa mambo.
  8. P

    Picha inaongea Makonda vs Sianga .

    Hayo majina wala sio ya watuhumiwa bali tayari ameshawahukumu ni wauzaji wa madawa ya kulevya.
  9. P

    Nigeria:Dada graduate Jehova Witness afariki kwa kutokuengezewa Damu kwa sababu ya Imani hairuhusu.

    Haya mambo ni kama ilivyo kwenye tafiti. Huwa tafiti zinapingwa kwa tafiti. Nilitegemea kama great thinkers tungemjibu prof Kwa maandiko kupinga maandiko aliyoyataja kwenye post yake kuliko kumshambulia bila msingi wa kimaandiko.
  10. P

    Mbowe atoa kauli juu ya kauli ya Rais Magufuli

    Wakati mwingine michango ya humu :( inatupa picha kubwa sana ya namna elimu yetu inavyotutayarisha kama mazuzu tusioweza kuhoji. Wakubwa wakisema jambo hata wanataaluma husika wanahangaika kulitetea hata kama ni la kijinga.
  11. P

    Naamini Lema atakuwa ameinga katika kumbukumbu ya vitabu vya sheria

    Nilisema mahali kwenye kesi hii kwamba there is something wrong somewhere kweye mifumo yetu utoaji haki. Haiwezekani kesi ya kijinga kama hii dhamana yake ikawa ni issue kwa muda wote huo.
  12. P

    Dr. Magufuli yuko sahihi na serikali yake, tubadilike

    Ni sawa umechangisha michango ya harusi inafika siku ya harusi unageuka na kusema nimegundua sina nyumba ya kuishi Kwa hiyo michango naenda kununulia kiwanja !!
  13. P

    Dr. Magufuli yuko sahihi na serikali yake, tubadilike

    Ok hatuihitaji hela ya Serikali bali hela waliokusanya kwa maneno ya kusaidia waathirika wa tetemeko.
Back
Top Bottom