Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,671
- 149,850
Kesi ya Lema katika kupata haki yake ya dhamana naamini itaingia katika kumbukumbu ya vitabu vya sheria duniani na nyaraka nyingine za kisheria na itakuja kutajwa kama mfano katika kesi nyingine za kisheria duniani na pengine hata kuchapishwa katika majalada mbalimbali ya kimataifa yanayohusu maswala ya sheria.
Hata hivyo,inaweza ikawa ni kumbukumbu ya kipekee na pengine ya kushangaza kwa vizazi vijavyo na katika tasnia nzima ya sheria duniani.
Hata hivyo,inaweza ikawa ni kumbukumbu ya kipekee na pengine ya kushangaza kwa vizazi vijavyo na katika tasnia nzima ya sheria duniani.