Recent content by Porocious

  1. P

    JamiiForums Tanzania Questions about Pharmacy and pharmacists

    Mkuu unajitahid kutoa comments znazokatisha tamaa na kubomoa ndoto za MTU....
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kampala international university

    Ingia tcu udownload guide book iliyopo sasa hiv ambayo ni updated utaona mikopo mipya wanayotoa!!
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kampala international university

    Updated guide book inaonesha hivi
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kampala international university

    V ip UOTE="catecholamine, post: 17762931, member: 376510"]Umechaguliwa kozi gani mkuu ?? We Kwenye guide book inaonyesha loan ni 3.1 mil so its true unatakiwa kuongeza 700,000
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kampala international university

    Bachelor of pharmacy
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kampala international university

    To what past are you refering to?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kampala international university

    Naomba mwenye ufahamu na hiki chuo, mazingira, gharama za maisha,hostel na hadhi ya elimu inayotolewa kwa sasa anijuze...pia kama ukiwa na picha ya mazingira yake mnaweza kuweka...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nimekosa First Round, kwa nilivochagua hapa nitapata second round?

    Nimepata alama kama zako PCB na nimeapply bachelor of pharmarcy na nimepata kwahiyo kama una mpango wa kuapply omba Mungu akusaidie na utapata
  9. P

    JamiiForums Tanzania TCU mtatuua kwa presha

    Ingia kwenye hii link af ingiza form four index utaona selection yako Cas.tcu.go.tz/cas_core/check_results
  10. P

    JamiiForums Tanzania TCU Account yangu sasa inafunguka

    wameupdate idadi ya competitors kwenye kila course
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

    Sasa kama ndo iko hivyo wakuu sisi PCB wenye two ya 12 tutapata kweli??
  12. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

    mfano kama ikitokea walioweka first choice wote wana two na wale walioweka 2nd na 3rd choise wana ONE na first choice zao zimegoma je wale wenye two wataachwa wabebwe wale wenye one au?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

    samahani kwa maswali mengi kaka....vipi kuhusu course ya physiotherapy kuna ndugu yangu kaomba hapo KCMC na kwenye gb wameandika capacity ni watu 30 na competition ilokuwepo ni watu 55 vipi idadi ya wanafunzi kwa course hiyo?
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

    samahani kaka inaonekana upo so much informed...vipi we ni mwanafunzi wa KCMC??
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

    kwahiyo ikitokea idadi ikazidi kidogo huwa wanawachukua hadi wale walozidi?
Back
Top Bottom