Tatizo ni machawa
Tatizo ni majaji wanapokea rushwa. Haya ndiyo mawazo ya Talmud.( Rabbi Mirvis aliniambia ninayo ruhusa yake kuongea kuhusu Talmud)
Tumejifunza
katika Boraitha: Kama utaishi katika kizazi ambacho kuna shida nyingi(mateso), nenda ukachunguze miongoni mwa waamuzi( majaji) wa...
Tatizo ni majaji wanapokea rushwa. Haya ndiyo mawazo ya Talmud.( Rabbi Mirvis aliniambia ninayo ruhusa yake kuongea kuhusu Talmud)
Tumejifunza
katika Boraitha: Kama utaishi katika kizazi ambacho kuna shida nyingi(mateso), nenda ukachunguze miongoni mwa waamuzi( majaji) wa Israeli; kwani shida...
Mimi nilimstukia kuhusu paka.
Wafuasi wake kila wakipewa microphone,utasikia wanasema: " Paka ( koko)walikuwa wanasumbua sana nyumbani kwangu, lakini nilipopata mafuta siku hizi,Paka wote Chali,na bundi wote Chali"
Nilijua tu kuwaua Paka kutamtokea puani huyu.
Atamjua Bubaste ni nani
Rais Samia anakuwa a bit careless kuhusu watu anaoshirikiana nao.
Hata Bill Gates aliomba msamaha kwenda Epstein Island.
https://youtu.be/Xg6OcHJBtPU?si=U3aJV6NIN-r68oNW
Video mbaya imetoka kuhusu Mwamposa.
Mambo mabaya, haiwezekani hata kuyazungumza hapa JF au popote.
Tatizo ni kwamba huyu "Nabii" amekuwa rafiki mkubwa wa Rais Samia na sifa mbaya Kwa huyu mtu zinamuathiri Rais.
Huyu Nabii wa heshima,watu wanamsema vibaya.
Mwamposa nadhani bili yake ya ulinzi...
Wamefanya biashara ya utumwa muda mrefu mpaka Waingereza walipoipiga marufuku Zanzibar 1874.
Shughuli nyingi za utumwa zikakomeshwa Zanzibar.
Lakini siyo uchoko.
Slavematers wakaendelea kuwashikilia machiko wao mpaka 1909.
Halafu Waingereza wakizuia utumwa tunawaita Wakoloni
Kuna matatizo ya Maadili.
Kuna matatizo ya mastaa wakubwa ambao wanafanya mambo ambayo siyo sawa.
Ni maradhi ya roho
Sisi hatujui kwa nini hawa watu wanafanya mambo haya ya kushangaza: na wao pia labda hawajui .
Hapa lazima tujiulize tuna uongozi wa namna gani sasa hivi.
Rais Ali Hassan...
Sasa hivi Tanzania kuna political stasis.
Rais Samia hawezi kufanya maamuzi yoyote kuyamaliza haya matatizo Kwa sababu anaogopa kugombezwa na Dr. Slaa.
Hujasikia kuhusu limbwata?
Hiyo limbwata ni kweli au watu wanapoteza muda wao?
Watu wanatumia dawa.
Nasikia mafaili ya watu wanapewa wachawi,wachawi wanaweka mkono juu,halafu wanasema" huyu anapaswa kufukuzwa kazi."
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.