Recent content by popoo kuranyi

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kuachana alafu ex anaanza kukuponda

    Hivi umekaa na mpenzi miaka mitatu unamlaaa kilaaa siku vizuri tuu, mnaachana anaanzaa ooh unakibamiaaa, Oooh huwezi mapenzi sijui nini matusi kibao kisa umemuudhi Kuna mtu aliniambiaa ukiona umemuacha demu anaendelea kuongea juu ya wewe ujue anakupendaaa hivi ni kweli??
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ukwel kwenye mapenzi

    Poapoaaaaaa
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ukwel kwenye mapenzi

    Jamaaaan mm nna mpenz wangu nampendaa sanaa na yeye naona ananipendaa lakini juzi nmeonana nae kanambiaa kitu kimeniuma sana kasema mpenzi kiukwel ulivokuwa mbali nlitembea na mwanaume alinilaghai nkampa penzi lakini nmejua udhaifu wangu na nakupendaa ww hata nlivofanya nae nlikuwaa nakuwaza ww...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kuhusiana na wanyama

    Nawapataje hao ncaa
  5. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kuhusiana na wanyama

    Sante kaka
  6. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kuhusiana na wanyama

    Mwaka huu kaka
  7. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kuhusiana na wanyama

    Okey nikiendaaa ntakwambiaa
  8. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kuhusiana na wanyama

    Sante sanaa mkuu ngoja nijaribu
  9. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kuhusiana na wanyama

    Mimi ni muhitimu wa chuo cha sua degree ya animal science natafuta kazi ya kuhusiana na mifugo mkoa wowote
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ni udhaifu mkubwa sana Man Utd kupaki basi dakika 80 nzima.

    Kwel ufhaifu ila point tatu kibindon nazo pia ni udhaifu et ee
Back
Top Bottom