Recent content by Popompo

  1. P

    JamiiForums Tanzania Davis Mosha aahidi kutimiza ahadi alizotoa wakati akigombea Ubunge Moshi Mjini

    Kweli wewe ni funza,Devis hata angefanya nini asingeshinda moshi mjini!! Alijidanganya ana pesa tukamwambia aje tuu lakini ataondoka kapa!! Hajaibiwa kura hata moja!!hata hizo alizopata wengine tunajiuliza alipataje maana watu wa moshi mjini wapo makini!! Na kama ni rafiki yako mshauri aache...
  2. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Alikua mwenyewe kwenye gari??poleni sana familia ya marehemu na makamanda wote
  3. P

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

    Kuna watu walitaka waambiwe wanapewa milioni hamsini kila kikundi cha vikoba!!! Matatizo ya WANAWAKE yatamalizwa na WANAWAKE wenyewe!! Lowasa yupo sahihi kabisa, mtafutieni kura halafu mtakuja kukaa chini na kutoa mapendekezo yao nini kifanyike kutatua changamoto hizo!!!
  4. P

    JamiiForums Tanzania Davis Mosha: Nitaifuta CHADEMA na masalia yake Moshi Mjini

    Devis utajuta kuja moshi mjini, umewashinda mwenzio kwa ujanja sasa tukutane Oct 25 tukuonyeshe kazi
  5. P

    JamiiForums Tanzania Davis Mosha: Nitaifuta CHADEMA na masalia yake Moshi Mjini

    Devis kazaliwa na kukulia kiborolini,ila kupata ubunge moshi mjini labda kwenye ndoto!! Mtu gani hajui hata sheria za eneo husika!! Kura za maoni tuu katuchafulia mji na vipeperushi!! Devis tukutane Oct 25
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hataki wageni

    Unaposema mkeo hapendi wageni unatumia kigezo hicho cha kukataa mjamzito? Au huwa unakataa na wengine?? Usimlazimishie majukumu yasiyomuhusu!! Kama unataka kumridhisha mshikaji wako pangishia hao wageni gest karibu na Hosp!! Ila ujue jukumu unalotaka kujibebesha ni kubwa sana!! Kwenye kujifungua...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Niko kwenye Jeshi la akiba la wanajeshi wa Tanzania, Utaninyimaje haki ya uraia EX-POLICE wako?

    He he we jamaa upo? Ulikua magereza?hebu tuambie magereza za UK zinafananaje? Long time mzee hujasomeka!
  8. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

    Tuzo zimepooza utafikiri nchi ipo vitani
  9. P

    JamiiForums Tanzania Faida inayopatikana baada ya nesi kumpiga makofi mama mjamzito

    Nesi kupiga mama kibao hairuhusiwi kabisa, ila kuna wakati inabidi kuchapa kibao na kukoromea sana, haiongezi uchungu ila inaongeza usikivu na mtulivu kwa mama mwenye maumivu mpaka anakua kama kachanganyikiwa! Mfano unakuta njia imefunguka vizuri, Mtoto ameshuka vizuri na tayari sehemu ya kichwa...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Wanawake wakibeba mimba wanatukomoa

    Pole sana mpendwa
  11. P

    JamiiForums Tanzania Wanawake wakibeba mimba wanatukomoa

    Huwa wanakua na hizo hali za kutaka au kukataa kitu flani, ila hawana jinsi ya kuelezea! Waliowapa ujauzito wamepepea! Asumbue matron au mwajiri wake hajipendi?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Wanawake wakibeba mimba wanatukomoa

    mara nyingi ni mabadiliko ya mwili! Na mama anateseka kweli!haaa mimba ikiwa ndogo! Wengine ikifika miezi minne na kuendelea anaweza kuvumilia ila wengine hawawezi! Jitahidi kupeleka anachopenda as long una uwezo nacho!
  13. P

    JamiiForums Tanzania Wanawake wakibeba mimba wanatukomoa

    Pole sana mpendwa! Unapita shida nyingiii mwisho wa siku unabaki mikono mitupu! Naelewa maumivu yako yalishanikuta pia!
Back
Top Bottom