Recent content by popbwinyo

  1. popbwinyo

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Toyota Corona Vs Allex VS Carina TI ninunue ipi?

    Nina Toyota Allex cc 1490, Four-wheel drive,ni miaka karibia miwili sasa sijajutia lolote zaidi ya betri kuchoka
  2. popbwinyo

    JamiiForums Tanzania Pendekezo kumaliza mzozo wa Israel na Palestina: UN itafute kipande cha ardhi hapa duniani, iwahamishie Wapalestina

    Hata wakihamishiwa huko wataanza pigana wao kwa wao
  3. popbwinyo

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazopinga ushoga zinatumia kigezo gani? Mbona hazipingi ukahaba na uasherati?

    Mjibuni alichouliza siyo kutukana,
  4. popbwinyo

    JamiiForums Tanzania Ubaya na Uzuri wa gari aina ya TOYOTA ALLEX

    Mkuu,nisaidie jambo,unaijua sana allex TA NZE-124?,4WD yake ni automatic ama?,maana ndo mpya na nimeiona ni 4wd ila sijaona button ya kuiingiza. 4wheel,na je ni kweli 4 wheel inabugia mafuta sana?
  5. popbwinyo

    JamiiForums Tanzania Fuel efficiency ya Toyota Allex four wheel drive

    Mm pia nna allex 4wd natamani kujua kuhusu hii
  6. popbwinyo

    JamiiForums Tanzania Namtetea mtoto wa Simbachawene, askari wachunguzwe

    Huwa uchunguzi mnafanya na kwa wanyonge?,huu ndo mfumo,acha nae aonje yatikanayo na mfumo uliochangiwa pia kuwepo na mzazi
  7. popbwinyo

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu tofali za blocks zitokanazo na Miamba ya Mawe

    Unaishi mkoa gani,kama unaishi arusha nicheki
  8. popbwinyo

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya nyumba kuonekana ndefu?

    Hata mm sipendi kabisa takataka hizo japo watu wanazikimbilia sana,
  9. popbwinyo

    JamiiForums Tanzania Nini faida na hasara za nyumba za mawe? Bongo kuna wataalamu wa kujenga kwa mawe namna hii?

    Miaka 5 mpaka 10 block zinaanza kupukutika,zina expire hizo,kama uko serious nambie nikutonye ziliko tofari za mawe ambazo haziliki na magadi wala chumvi milele na hauhitaji hata plaster
  10. popbwinyo

    JamiiForums Tanzania Nini faida na hasara za nyumba za mawe? Bongo kuna wataalamu wa kujenga kwa mawe namna hii?

    Watu wengi wanaongea kwa kuhisi siyo kwa kujua,
  11. popbwinyo

    JamiiForums Tanzania Nini faida na hasara za nyumba za mawe? Bongo kuna wataalamu wa kujenga kwa mawe namna hii?

    Anakoseaje sasa huko kuunganisha mawe unakosema,kwani mawe yanaunganishwa na nini,
  12. popbwinyo

    JamiiForums Tanzania Kufunga lenta ya msingi kwa kutumia waya badala ya nondo

    Mkuu unajua ni waya gani, Isijekuwa unadhani ni kama za umeme,
  13. popbwinyo

    JamiiForums Tanzania Hivi ili nawe umeliona? Nyumba za makazi Marekani na Ulaya kutokuwa na fensi ndefu

    Kati ya nyumba zilizo na fance na zisizo zipi nyingi,wasio na fance inamaana wanaibiwa wao tu ama
  14. popbwinyo

    JamiiForums Tanzania Nyuklia zina ubabe; Teknolojia ya kuzuia madhara ya silaha za nyuklia italeta mapinduzi makubwa katika uwanja wa vita

    Wamarekani wana kikosi maalumu cha kupambana na shambulizi na nyuklia na wameanza mazoezi,naamini wanacho kitu hatujui kuhusu siraha hizo,tutajua siku shambulizi litatokea baada ya kuona watachofanya, Tusubiri,zipo siraha za kujilinda na kushindia nyingi sirini hatuzijui na hazijtambuliswa,hizi...
  15. popbwinyo

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyemwelewa vyema hapa Dr. Elie V.D Waminian? Nimechanganyikiwa!

    Ulimskia vibaya,rudia kumskia tena umegeuza alichosema, Kimsingi wazee wa zamani walikuwa na matiki siyo elimu,sasa tuna elimu hatuna mantiki, NB tazama matendo yao na yetu
Back
Top Bottom