Liquidity ni kipimo cha uhitaji wa bidhaa kwenye soko
Asset ni mali isiyohamishika kama vile nyumba, kiwanja n.k
Liability ni mali ambayo unamiliki kwa mkataba, mkopo n.k kimsingi hii huwa inakugharimu..
Equity ni mgawo wa umiliki katika biashara au uwekezaji kulingana na pesa alichangia mtu...
Shukrani sana teacher.. Nina swali maswali mengine..that I will really appriciate you enlighten me..
1. Je kuna tofaut gani kati ya aliexpress na alibaba.com in terms of shipping options to their customers..?
2. Na kama nataka kununua bidhaa in bulk for business purposes should I go for alibaba...
Vipi kuhusu kodi..unaweza kukuta sababu ya viwanda vya ndani kupandisha bei ni kwasababu hiyo...Na Je,sera ya nchi hiyo inaruhusu kuimport food products.?
Unaweza ukaakisi hiyo situation na hapa nyumbani kipindi cha mfumuko wa bei ya sukari..
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah mkuu you are a super nice guy..!!! Una psychological condition called Mr.nice guy syndrome. Ili kuishi kwa furaha STOP kuplease watu wengine STOP kujali amani ya watu wengine wakati ndani yako hakuna amani( make your needs the first priority)..Na kwa jinsi nilivyosoma thread yako...
How about taking online courses..because You can hardly find a place for those languages not only in Arusha but also anywhere else in Tanzania..
In the internet you can find abundance of free content and premium as well if you want...
All the best!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Brah only wanaume ambayo hawajiamiani ndo wanakuwa hivyo na kuwa desperate kutry hard kuwa impress hao wanawake..
But sadly it turns them off..instead..
Real men are always calm, confident and relaxed in every situation..
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.